Mwigulu Nchemba ataka msajili wa vyama kusitisha Operesheni Sangara za CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwigulu Nchemba ataka msajili wa vyama kusitisha Operesheni Sangara za CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Jul 17, 2012.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Katika kile kinachoonekana kutafuta mahali pa kujishika, Mbunge wa Iramba Magharibi Mwigulu Nchemba amemtaka msajili wa Vyama vya siasa nchini John Tendwa kusitisha mara moja operesheni Sangara za chama hicho kwa kile anachodai zinatishia amani ya nchi.

  Mwigulu alisema baada ya mazishi ya kada wa chama chake hapo jana yaliyotokea huko Ndago atahakikisha anapambana kwa nguvu zote na CHADEMA ili kukomesha tabia yao.

  Source:Habari Leo

  My Take:
  Wachunguzi wa mambo wanadai kuweweseka huku kwa Mwigulu ni kutokana na kutuhumiwa kama mhusika mkuu wa mauaji yaliyotokea kwa kile wanachodai alikodi vikundi vya vijana na kuwapa hela ili wakavuruge mkutano wa CHADEMA na ndipo wananchi walipozidi nguvu kikundi hicho cha wahuni na kuwatimulia mbali.

  Hata hivyo mpaka sasa bado jeshi la polisi halijafanya mahojiano yoyote na Mwigulu ili kuchunguza madai hayo. Mwigulu amekuwa mara nyingi akitoa maneno ya hovyo na matusi dhidi ya CHADEMA hasa awapo bungeni na kwenye mikutano ya hadhara.

  Tayari jimbo lake la Iramba Magharibi CHADEMA ina nguvu kubwa na kuna uwezekano mkubwa Mwigulu asirudi tena bungeni baada ya uchaguzi ujao.
   
 2. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Ina maana msajili wa vyama vya siasa siku hizi anatoa kibali cha mikutano!
   
 3. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Dr. Mkumbo for Iramba Magharibi 2015!! Yes, the change we believe!!
   
 4. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Mliisi pia chadema ni chama cha msimu eeh?? Mtumieni ata msajili ila hatubadiliki na kura zetu tutazilinda kwa sababu moja tu, tunaichukia ccm na mafisadi wake ile mbaya, mkakati ni kuakikisha laana ya kutawaliwa ata na mwenyekiti wa kijiji toka ccm tunaikataa
  mlijidanganya ati mtatawala milele?
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Naona Mwigulu ameamua kuchukua madakara ya kuongoza nchi! Kama ana ushahidi wa hayo anayosema aende mahakamani. Kijana mdogo kama Mwigulu amepata wapi ujasiri wa kufanya siasa za kijanjweed? Tayari mikono yake imejaa damu ya watanzania wasio na hatia.
   
 6. M

  Mdwenke Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Uzushi mtupu, acha kuendeleza ugomvi wewe!
   
 7. M

  Molemo JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Dr Kitila anapendwa sana huko Iramba.Ameombwa sana mara nyingi na wananchi agombee hasa kutokana na hekima na heshima yake kwa jamii.
   
 8. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  First Class Economist wa Tanzania na ndio mtunza hazina wa CCM, hapo kutakuwa na mikakati ya kukuza uwezo wa chama kujitegemea kweli? JK kazi anayooooooo

   
 9. M

  Magesi JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dkt Mkumbo kamshika pabaya achukue tu posho za mwsho mwsho tunakuja kummaliza na operesheni sangara
   
 10. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Umewekewa source ya habari mkuu,pitia ili ujiridhishe!
   
 11. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hureee mkumbo wacha mwigulu awe mbunge wa viti maalumu
   
 12. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #12
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Mwigulu Nchemba ni mtoto mdogo,
  Katika masuala ya siasa,
  Yeye anadhani anajijenga,
  kumbe ni buffer ya wazee wa CC.

  Kule NEC wanamvisha kilemba cha ukoka,
  CC wanatoa baraka,
  yeye anadhani yupo kileleni,
  saa ikifika atajua maana ya kilemba.

  CC ya CCM siku zote,
  Ni lazima iteue,
  Kondoo wa kafara,
  This time kondoo,
  ni Mwigulu Nchemba.

  Si muda mrefu,
  Watanawa mikono wote,
  na kumwacha ajibu mwenyewe,
  Ikibidi afe kisiasa,
  na kuinusuru CCM.

  Yeye hatakuwa wa kwanza,
  wala hatakuwa wa mwisho.

  Kila dhambi ina kafara yake.
   
 13. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mwigulu anaweweseka. Unacheza na DAMU ya Mtu. Tena Mtu ambaye Yuko Jimboni Kwako. Ile ya Igunga na Arumeru haiwezi Kumtesa. Hii ya Jimboni kwake Itamtesa kwa Sababu Kila atakapokuwa anakwenda atakuwa anawakumbusha watu MACHUNGU

  Mwigulu Badilisha Strategis Hizi za MAUAJI Hazifai
   
 14. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mwigulu lazima yupo kwenye hii thread atakuwa amevimbisha midomo utafikiri anapuliza puto
   
 15. K

  KISAKA MORIS JF-Expert Member

  #15
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hofu ni mbaya sana'
   
 16. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #16
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Dr. Mkumbo Endelea Kubinya P.umbu Mpaka Wapige Kelele
   
 17. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #17
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hata kwa sasa hana tofauti na viti maalum, tena viti maalum CCM. Siwezi kumtofautisha na Wabunge wa viti maalumu kwa pumba anazoongea bungeni.
   
 18. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #18
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  This is the FEAR of the UNKNOWN...! They tremble in their heart and burn inside. We will let u say wat u all feel yet the power of majority will take us to the promised victory. We love our country, we want show our love to the rest. Democracy is another ambiguous word that can kill without notice....

  FEAR OF THE UNKNOWN!
   
 19. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #19
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  mods???????????????????????????????
   
 20. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #20
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Mwigulu, " who judges others condems himself" and You cannot shoe a running horse. So pls, pls be patience.
   
Loading...