Watanzania tumebakiza takribani miaka mitatu tuingie kwenye uchaguzi mkuu wa rais, bunge na madiwani. Nashangaa kuona/ kusikia kuwa kuna wana siasa wameanza kujinadi kwenye magazeti na redioni...
Serikali inampango wa kutumia kiasi cha shillingi 42billioni kwa mwezi ili kuepuka mgao wa umeme unaotegemewa kuanza hivi karibuni...matumizi haya ni kwa muda wa miezi sita
Source:
Tweet...
Msomi Mh. Waziri wa Mawasiliano, sayansi na Teknolojia kashindwa kabisa si tu kuwakumbuka Wabunge bali hata kusoma toka kwenye karatasi yake majina yao. Je huyu anawezaje kuleta mapinduzi ya...
Nasikitika sana kuona tasaf inatoa fedha nyingi katika ujenzi wa madasa pamoja na madawati lakini,hayawezi kudumu miaka kumi.Madarasa mabovu,yapo chini yakiwango.Wanalijua lakini wanalifumbia...
Wakuu,
Kwa muda mrefu sasa, wabunge wengi wanapochangia hoja za mawaziri wanaowasilisha bajeti zao bungeni wamekuwa wakiwalaumu mawaziri kwa kutotekeleza ahadi za serikali kwenye majimbo yao...
DIWANI wa Kata ya Kigamboni jijini Dar es Salaam, Dotto Mtawa (CCM), anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za wizi wa gari.
Habari za uhakika ambazo Tanzania Daima imezipata...
POLISI mkoani Kigoma inawashikilia watu watatu wakiwemo wafanyakazi wawili wa basi la Osaka linalofanya safari kati ya Kigoma na Dar es Salaam, wakituhumiwa kufanya biashara haramu ya kusafirisha...
TANZANIA sasa imekuwa nchi ya misiba na tunadiriki kusema kwamba mara nyingi misiba hiyo imekuwa ya kujitakia. Haipiti siku kabla vyombo vya habari havijatangaza habari za vifo vya mamia ya watu...
kesi ya Uchaguzi Iliendelea jana (23.07.2012) katika mahakama ya Nzega, hatua iliyofikia ilikuwa ni Mh. J.P.Magufuri kujakutoa maelezo ya utetezi kuhusu tuhuma zinazomkabili za kutumia nafasi ya...
Wanabodi.
Chadema wanadai eti Intelijensia yao imenasa habari za kuwindwa na kuwawa wanasiasa watatu Slaa, Mnyika, Lema, pamoja na mtambo wa mawasiliano...madai ya aina hii mbali ya kuwa ya...
Ratiba ya M4C Arusha Mjini
Julai 27.Kata ya Kaloleni eneo Mianzini
Julai 30.Kata ya Daraja mbili eneo la Relini
Julai 31.Kimandolu eneo la Kijenge chini
Agost 1.Sombetini eneo la Mbauda sokoni...
Kama upo makini utakuwa umeshaliona hili au japo kuliskia,
Kwa kifupi mifuko ya kijamii NSSF na PPF itatumika tena kuifadhili CCM kwenye uchaguzi wa 2015. Ndio maana tumeambiwa No mafao mpaka umri...
MRC Special Series Part 1- YouTube
kesi yetu koti ya kenya imetoa uamuzi wake,,,,,serikali haIkuleta ushahidi wa kutosha kwa hio MRC sio kundi haramu tena,,,,,,tulidumisha amani kama kawaida...
''mm sijahusika kabisa na kutekwa kwa Ulimboka. Jamani msinidhuru. Tena cku hyo mm ckuwepo'.. David Mapunda
OC CID Kawe (Mkuu wa Upelelezi) David Mapunda amepata ajali ya gari akiwa amesimama nje...
Jembe la Kisiasa Urambo lililokuwa CUF ndg. Paskal Urembo limeamua kuvaa gwanda kwenye mkutano wa CDM uliofanywa na Uongozi wa CDM Mkoa wa Tabora ukiongozwa na Msafiri Mtemelwa na Mwenyekiti wa...
Gari ya serikali, Defender yenye usajili STJ 974 iko cocobeach imeleta wanakwaya ku-shoot video, imewaleta imewasubiri wamefanya shooting na sasa ninapoandika hii wanapakia mizigo yao kwenye gari...
Habari zilizonifikia hv punde, Uamsho wakisoma dua kwa ajili ya wahanga wa meli ya Seagull iliyozama hapo jana wametawanywa kwa kupigwa mabomu na kikosi cha kutuliza ghasia FFU kwenye viwanja vya...
WIMBI la mikutano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) linaloendelea kwa kuendesha mikutano mbalimbali nchini, safari hii limemshukia Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka (CCM)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.