M4C Arusha mjini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

M4C Arusha mjini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nanyaro Ephata, Jul 25, 2012.

 1. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Ratiba ya M4C Arusha Mjini


  Julai 27.Kata ya Kaloleni eneo Mianzini
  Julai 30.Kata ya Daraja mbili eneo la Relini
  Julai 31.Kimandolu eneo la Kijenge chini
  Agost 1.Sombetini eneo la Mbauda sokoni
  Agost 2.Sombetini eneo
  Agost 3.Kata ya Elerai eneo la Suma


  Mikutano yote inaanza saa tisa kamili jioni.Wote mnakaribishwa


  Peoples power
   
 2. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  najisikia furaha na amani kuona harakati zinaendelea nilikuwa na njaa sasa nimeshiba kuona harakati zinaendelea LEMA lazima awashe moto
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Tunashukuru sana kwa ratiba ya M4c Mkuu!

  Hakika hapatatosha viwanja lengwa!
  Na nawahakikisha ya kwamba zoezi hili kamwe halitawabakiza mafisadi waliojifanya wanajua na sasa kikomo imefika!


  2015 naona ni mbali natamani iwe kesho!

  Wao wana pesa Sisi tuna MUNGU aliye hai sasa na hata milele!
   
 4. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Lema lazima urudi home kuwakumbusha wana Arusha kuwa karibu mnafikia nchi ya Ahadi
   
 5. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kila siku mikutano? Wananchi watafanya lini shuguli za maendeleo? Ndo maana tutazidi kuwa masikini kila siku
   
 6. G.T.L

  G.T.L JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 208
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Daaa!!Natamani nihuzurie hiyo event lakini niko shinyanga sijui M4C Shy itakuja lini?Tunahitaji ukombozi haraka iwezekanavyo....P'Square(People's Power)
   
 7. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #7
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Kweli wewe una matatizo,mikutano ndio sababu ya umaskini?
   
 8. raia tz

  raia tz Member

  #8
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  usiwe mweopesi wa kusahau mkuu, 50 years back no movement for change, watu walilala na nao development, sasa ngoja watu waamke, usitake watu walale
   
Loading...