TASAF na miradi yakiwango cha chini

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
313
40
Nasikitika sana kuona tasaf inatoa fedha nyingi katika ujenzi wa madasa pamoja na madawati lakini,hayawezi kudumu miaka kumi.Madarasa mabovu,yapo chini yakiwango.Wanalijua lakini wanalifumbia macho,kwanini msijenge majengo imara kama ya kibiti high,ruvu girls,galanos high n.k
 
Back
Top Bottom