Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya Uchaguzi mkuu wa 2010,Chama cha Mapinduzi-CCM kiliamua kwa maksudi kufanya mageuzi kwenye uongozi wa Bunge la JMT kwa kumwondoa aliyekuwa Spika kwa wakti huo Mhe.Samwel Sitta aliyekuwa...
0 Reactions
2 Replies
985 Views
Mtu hana fedha ambayo inakidhi mahitaji yake binafsi lakini anaambiwa ajiwekee akiba mi nafikiri kwamba hata ukiwa na elimu ya kazi fulani halafu huna sehemu ya kufanya kazi yenyewe ni kimeo...
0 Reactions
1 Replies
896 Views
Kwanza, heshima yako na pole kwa majukumu ya kila ya ujenzi wa taifa hili.\ Pili, Uniwie radhi kama nitakayosema yatakuwa mambo ya kawaida sana kiasi chakutostahili waraka huu. Hata hivyo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mimi ni mtumishi katika Halmashauri ya Wilaya ya Iramba, Kiomboi, Singida katika idara ya elimu. Nilishiriki katika mikutano miwili ya CHADEMA iliyofanyika Ndago na Kinampanda na nilishiriki...
43 Reactions
164 Replies
14K Views
wanabodi, ni kwa kipindi sasa imekuwa ni dhahili kuwa mwenyekiti wa bunge ndugu mabumba hajui kuongoza bunge, hivi kwa nini anapokalia kiti lazima kuwe na vurugu? ni kwamba hana uwezo? na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mheshimiwa Koka Francis Silivestry Mbunge wa Kibaha Mjini amekodishishiwa ukumbi wa kiwanda cha Urafiki Maarufu kama Ukumbi wa Social Hall ambao historia yake ni Kuwa ukumbi huu ni mali ya Kiwanda...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Jamani wananchi wote wenye uwezo wa kufikia na kutumia internet naomba tutoe maoni yetu kupitia mtandao wa tume ya katiba www.katiba.go.tz Ila sasa sijui watamjuaje kwa haraka kuwa mtoa maoni sio...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
mi nimechoka kuishi tz coz hakuna fursa yoyote ile na siasa inaanza kuleta vurugu.... sasa mwenye uelewa anijuze taratibu za kufuata wakati wa kuomba hifadhi za kisiasa especially napenda...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mbunge Juma Nkamiya amehoji ni nani wa miliki wa mitandao inayokashifu viongozi. Mbunge huyo amehoji jioni hii wakati bunge limekaa kama kamati kupitisha bajeti ya wizara ya mawasiliano, sayansi...
2 Reactions
141 Replies
12K Views
Kila siku najaribu kufuatilia mazungumzo ya Bunge na hasa maswali na majibu. Jana waziri wa sayansi na teknolojia alishindwa kabisa kusoma majina ya wabunge wenzake waliochangia ktk bajeti yake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nasikitishwa na kitendo cha Mh zitto kuamua kuchukuwa wana KIGOMA ..NA KUWATAMBULISHA KM KATIBU WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NI MWANZO MDOGO WA KUONYESHA UKANDA TULIOKUWA TUAUSEMEA; MH ZITO MPKA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Isee upepo wa katiba unapita kwa kasi ya ajabu Huko nyuma niliwai kuandika kuwa ikifika muda wa kukusanya maoni TISS wataleta dude moja la kututoa kwenye reli naona wamefanikiwa kwa kiasi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Viongozi waingia kutapeli ardhi ya walalahoi
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Wana JAMVI HOSPITALI YA RUFAA SINGIDA inadai shilingi bilioni mia nane kukamilika. Taarifa hiyo alipewa Mheshimiwa Dkt Seif Rashid alipofanya ziara mkoani humo jana na Mtaalamu wa Chuo kikuu cha...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Rungu la KODI kwa wafanyakazi limerejeshwa tena kinyemela bila hata kutangazwa na waziri wa fedha kwenye hotuba ya bajeti! Allwance zote zitakatwa kodi kama zamani na TRA tayari wameanza kusambaza...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Kipindi kabla ya nchi yetu haijaonyesha nia ya kuelekea katika mifumo ya kiliberali, ilikuwa tunafundishwa shuleni nadharia hii ya W.A.S.U. wakubwa walitufundisha na ilikuwa ni lazima ukariri na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
KIZA kimetanda juu ya siku rasmi ya kurejea kwa Dk Stephen Ulimboka nchini baada ya kuelezwa kuwa licha ya hali yake ya afya kuimarika matibabu yake yanatarajia kuwa ya muda mrefu. Hivi karibuni...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mheshimiwa Leticia Nyerere amesema Tanzania haina mamlaka ya kimataifa ya kutumia mtandao wa Internet na kutumia huduma zinazotokana na internet kama E-mail mitandao ya kijamii n.k. Je hayo ni ya...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Nchi ya Tanganyika inapotea na kuangamia kwa kukosa Viongozi wenye Maarifa. Mawazo yao yamejawa na husda na tamaa za kuishi vizuri wao na familia na bila kumkumbuka yule wa hali ya chini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Napendekeza kauli mbiu ijayo iwe ni VAA GWANDA PIGA KWATA. Kupiga kwata hapa kunatafsirika kuwa baada ya kuvua gamba watu wetu wanahitaji kupewa semina juu ya kutambua na kusimamia haki zao...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom