Leo naona viongozi wengi wapo front line mnazi mmoja lakini simuoni makamu wa kwanza wa rais kutoka serikali ya mseto Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad au yeye hausiki kwenye mambo haya ya magamba?
Wanajf, nimekutana na hii habari na naona kwa kiasi kikubwa sana inafanana na kilichotokea hapa kwetu. Kwa wale wananofuatilia mustakabali wanchi tunaweza kuangalia hii hali. Msijali hii...
JUMATANO, JULAI 25, 2012 04:49 NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
*Wadai ameshindwa kuwatetea wananchi wake
*Yawahimiza wananchi kutoa maoni Katiba mpya
WIMBI la mikutano ya Chama cha Demokrasia na...
Madiwani 22 wa CCM wa wilaya ya Misungwi (mkoa wa Mwanza) wamejiorodhesha na kutishia kutaka kuhamia CHADEMA kutokana mgogoro uliopo kati yao na viongozi wa CCM wilaya, Tanzania daima leo...
Baada ya Mbunge wa CCM Bwana Mwigulu Nchemba kutoa tuhuma nzito Bungeni kuwa ametishiwa maisha na Wabunge wa CHADEMA kwa njia ya SMS kupitia simu za mkononi imebainika kuwa SMS hizo ni za kughushi...
Sijawahi kutembelea nchi yoyote zaidi ya nchi yangu Tanzania.Tanzania tumekuwa na utaratibu wa kuwaenzi viongozi mahiri na mashujaa mbalimbali wa ndani na nje ya Tanzania.Kwa mfano tumekuwa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya kilombero, mkoani morogoro, kimevuna wanachama wapya 256 waliohamia chama hicho kutoka vyama vingine vya siasa.
wanachama hao wametoka CCM ni...
Hali katika kata ya Pasua usiku kucha kuanzia jana ilikua imechafuka baada ya wananchi kuchukizwa na maamuzi ya kikundi cha ulinzi shirikishi katika mtaa wa Bomambuzi kuwapiga mpaka kuwasababishia...
Waziri wa Fedha Zanzibar Omar Yussuf Mzee
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imo katika hatua za mwisho za kujua idadi ya wafanyakazi wa taasisi za muungano wanaofanya kazi Zanzibar ili kuwatoza...
Mamlaka hiyo ya vitambulisho vya uraia {nida}imelalamikia kuwapo kwa watu ambao sio raia wa tanzania wanaomiliki vitambulisho vya kupigia kura.kitu ambacho kinapelekea zoezi hilo kuwa gumu
watu...
Wakuu,
Kama kuna jambo linalonikera mjengoni wakati wa kikao cha bajeti ni pale mawaziri wanapoamua kutaja majina ya wabunge mmoja mmoja waliochangia hoja yake. Mawaziri takribani nusu ya muda...
NA MWANDISHI WETU
24th July 2012
Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye
Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amepiga marufuku wafanyabiashara ndogo ndogo...
Posted on July 24, 2012 by zanzibaryetu
Baadhi ya miili iliyopatikana leo ambapo jumla ya maiti 16 zimepatikana kati ya hizo maiti 11 zimeopolewa Zanzibar na maiti 5 zimeonekana zikielea huko...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimepokea wanachama wapya 256 kutoka vyama vya CCM, Cuf, na TLP kutoka katika Kata nne za Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro. Hayo yalibainishwa na...
Kumradhi Waziri Membe
Monday, 23 July 2012
Katika gazeti hili la tarehe 12/01/2011 tulichapisha habari yenye kichwa. Membe: Polisi walikiuka Maadili (Mabalozi waibana Serikali, wahoji polisi...
Posted on July 24, 2012 by zanzibaryetu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Rashid Seif Suleiman kuwa Waziri wa Miundombinu na...
Mwenyekiti wa CCM Loveness Mamuya akimkabithi kadi ya CCM, Mwenyekiti wa DIKOTA Metropolitan bwana Faraja Isingo, wa kiiwa na katibu mwenezi Benjamin mwaipaja
Wakifurahia kadi zao na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.