Lema, Millya wasambaratisha ngome ya Ole Sendeka Simanjiro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lema, Millya wasambaratisha ngome ya Ole Sendeka Simanjiro

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Jul 25, 2012.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  WIMBI la mikutano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) linaloendelea kwa kuendesha mikutano mbalimbali nchini, safari hii limemshukia Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka (CCM) na kumfananisha na ‘tikitimaji'.

  Katika mkutano huo, ambao ulihutubiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho ambaye pia alikuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema na aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Mkoa wa Arusha (UVCCM), James Ole Millya, walimlaumu ole Sendeka kuwa ameshindwa kupeleka maendeleo katika Jimbo lake, tofauti na maneno anayotoa.

  Katika mkutano huo, Chadema walitumia usafiri wa helikopta (chopa), ambayo ilionekana kuwa kivutio kwa wakazi wa Simanjirio na vitongoji vyake.

  Viongozi wengine waliohutubia kwenye mikutano hiyo ni pamoja na aliyekuwa diwani wa Sombetini kwa tiketi ya CCM, ambaye hivi karibuni alihamia Chadema, Alphonce Mawazo na aliyekuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa CCM na UVCCM, Ally Bananga.

  Katika mkutano huo, wanachama 1,200 kutoka CCM, walijiunga na Chadema.

  Wanachama hao wa CCM, walirudisha kadi pamoja na sare za chama hicho, zikiwemo fulana, bendera na vitambaa vya kichwa katika mikutano iliyofanyika kwenye maeneo ya Narekauo, Lolbosiret, Naberera, Ndovu, Orkesument na Marerani

  Source: Mtanzania
   
 2. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeendelea na operesheni ya "Vua Gamba Vaa Gwanda" na kufanikiwa kuvuna zaidi ya wanachama 1,200 kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) kutoka maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Simanjiro.

  Operesheni hiyo iliyoendeshwa kwa kutumia usafiri wa helikopta (chopa) na magari iliongozwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Godbless Lema, akishirikiana na aliyekuwa mwenyekiti wa UVCCM mkoani Arusha, James Olle Millya, ambaye ni mwenyeji wa Simanjiro mwenye ushawishi mkubwa kwa watu wa wilaya hiyo.

  Wana CCM hao walirudisha kadi pamoja na sare mbalimbali za chama hicho zikiwemo fulana zilizokuwa na picha ya mwenyekiti wao wa Taifa, Rais Jakaya Kikweta, bendera na vitambaa vya kichwani.

  Akizungumza kwenye mikutano hiyo iliyofanyika kwenye maeneo mbalimbali wilayani Simanjiro, Lema aliwataka wananchi kushiriki kikamilifu kutoa maoni yao kwenye Tume ya Katiba pindi itakapopita kwenye maeneo hayo, ili kuhakikisha kero zao zinapatiwa ufumbuzi kupitia Katiba mpya ikiwemo kuhakikisha utitiri wa viongozi wasio na majukumu kwenye mfumo wa serikali unaondolewa ikiwemo nafasi za wakuu wa wilaya na mikoa.

  Source: Tanzania daima
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Viva CHADEMA
  Viva Lema
  Viva Ole Millya

  Bado kwa Mr. Matusi
   
 4. M

  Mujanjabi Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kasikia Membe na Jk wanataka kuvaa Gwanda na kuvua umagamba wao.
   
 5. HOMOSAPIEN

  HOMOSAPIEN JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 719
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Isiwe ni moto wa majani huo!!! hauwezi hata kuchemsha maji.
   
 6. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Inategemea na wingi wa majani! Kama ni mengi utawaka miaka mingi sana tu
   
 7. paty

  paty JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  hakuna fisadi atakaye nusurika katika oparesheni M4C
   
 8. I

  IDIOS Member

  #8
  Jul 25, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Na bdo operation inazudi kuiva. Hakuna atakaye okoka hapa.
  Kikwete anatakiwa aanze kutafuta nchi ya uhamisho pindi makamanda watakapo ingia white house.
  Ni hayo tu wakuu. Napita tu
   
 9. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,168
  Likes Received: 1,103
  Trophy Points: 280
  Baada ya kushidwa kwa kula ndogo kweye kula za maoni ;uchaguzi uliopita.

  Ole millya kahamia CDM. Lakini kumbuka nguvu za wazee ndio zinazo amua simanjiro.

  Nakutakia mapambano mema;

  SIASA NI UPEPO
   
 10. r

  rwazi JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hayo ni matisho tu. Hivi wale washiri wa arumeru waliishia wapi.
   
 11. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  ole milya lazima ashinde simanjiro ole sendeka kapotea njia
   
 12. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wazee walianzia ujanani. Kaza buti Millya.
   
 13. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #13
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Mkuu una njaa kali au swaum kali?
   
 14. Mark Francis

  Mark Francis Verified User

  #14
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 605
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  R.B hivyo ni vitisho visivyo na maana, we tulia na subiri 2015 maana lolote linaweza kutokea!!:shut-mouth:
   
 15. r

  rwazi JF-Expert Member

  #15
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtu mzima hatishiwi nyau
   
 16. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #16
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kiwewe na kihoro!
   
 17. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #17
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Unakimbizwa na nani? Haya matapishi uliyoandika umelazimishwa?

  Soma vema tena ulichoandika!
   
 18. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #18
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Hivi humu kuna washili ,wazee hawahitaji mabadiliko maana kwanza wao sio wenye future
  wanaona kwamba muda wao umekwisha na ndio maana wanatuzingua sasa tuwe makini
  na hivi vitu
   
 19. M

  Mzee Kabwanga Member

  #19
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Jimbo siyo la mtu .Ole milya endelea kuhamasisha wamasai waelewe nini kazi ya mbunge.
   
 20. makusanya

  makusanya JF-Expert Member

  #20
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45

  hapo kwenye red umemaanisha nini?
  kajifunze kiswahili kwanza ndiyo ulete utumbo wako hapa
   
Loading...