bilioni 42 kutumika kwa mwezi...

mwakajila

Senior Member
Apr 2, 2012
188
29
Serikali inampango wa kutumia kiasi cha shillingi 42billioni kwa mwezi ili kuepuka mgao wa umeme unaotegemewa kuanza hivi karibuni...matumizi haya ni kwa muda wa miezi sita


Source:
Tweet from Zitto Kabwe..
 
Tofauti yake na Richmond itakuwa nini!?. Duh!, mambo yale yale, after all mbona sijasikia uwajibikaji kwa Upande wa kuhusu na kuzama kwa meli!?. Si ilianza safari Bara!!!. Kwa dhana ile ile!!. Uzembe wa waliochini chini yako.
 
Simpendi Zitto kwa sasa na nisingependa kusikia chochote kuhusu yeye!... Amekaa kusubiria Urais 2015 tu! Na huko CHADEMA wanataka kumpitisha wajue ndo utakuwa mwisho wao.
 
Back
Top Bottom