Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kituo cha kutetea haki za binadamu nchini Tanzania kimesema kinaandaa taratibu za kuiburuza serikali mahakamani kwani kumkatalia mwanachama kuchukua hela zake kwa vile hajafikisha miaka 60 ni...
16 Reactions
179 Replies
15K Views
Sina haja ya kuaeleza umuhimu wa uchaguzi wa 2015 kwani changanoto na udhaifu uliopo ni dhahiri kabisa. Bila ya kujali vyama vya siasa hii post inajitahidi kumfanya Rais kama taasisi yenye nguvu...
1 Reactions
0 Replies
864 Views
Juzi juzi rais jakaya kikwete amezindua mradi mkubwa wa maji huko mbeya mradi huo ambao umegharimu shilingi bilioni 79 utadumu kwa muda wa mpaka mwaka 2017 ambapo inategemewa hadi kufikia muda huo...
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Nasikiliza bunge hivi sasa, kwanza nilianza kwa kucheka, halafu nikapata hasira, na hii si leo tu. Kwanini wabunge wanawasilisha hotuba zao kama wamebonyezwa "Fast forward"? Hotuba zinakuwa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Naangalia bunge muda huu naona wabunge wengi wa chadema hawamo bungeni hii pia imejitokeza juma lililopita wabunge wengi hawakuwemo. Binafsi nakata sana tamaa na hili. Wanakutana muda huu saa...
8 Reactions
58 Replies
4K Views
Ukiwaona bungeni wakitetea maslahi ya wanachi utaamini ni watu. Angalia wakisahau tu utawaua ukweli wao leo Mh tundu Lissu alitaka kujienyesha anawapenda watz kwa kutaka kuleta Hoja ya Meli ya...
0 Reactions
222 Replies
18K Views
Nape anashtumiwa kuwa ni katibu machachari anaewagawa wanasiasa ki makundi. Najua kuna siku atakwama tu. Uwanasiasa haurithiwi, ikiwa baba yake alikuwa kiongozi mzuri katika nafasi alionayo...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Katiba Mpya 1. Wananchi tunaijua Katiba ya zamani? 2. Ni lini kamati ya katiba mpya itapita hapa nilipo? Je maoni yatafika vile yalivyokusanywa? Utadhibitisha vipi kama mawazo ya wengi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, Nimedokezwa kuwa sheria mpya ya mafao ina kifungu cha 43 (6) ambacho kinasomeka kama ifuatavyo: ''This act shall apply to a person or employee employed in the formal or informal or...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
Rais JK amemteua balozi T. Manongi kuziba nafasi iliyokuwa ya balozi Ombeni Umoja wa Mataifa. Ninakuwa na wasiwasi na huu uteuzi hasa baada ya Mama Migiro kutembelea ikulu juzi tu halafu msaidizi...
0 Reactions
29 Replies
45K Views
Wanabodi. Hali ya kisiasa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) sasa si swari baada ya baadhi ya viongozi waandamizi wa chama hicho, wakiwemo baadhi ya wajumbe wa kamati kuu...
1 Reactions
62 Replies
5K Views
Serikali imeshakamilisha mtego wa kumzima kabisa Dr.Ulimboka. Mtego huo umeratibiwa na Usalama wa Taifa na Polisi kupitia kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Eliezer Feleshi. Mtego huo ni upi? Ni...
8 Reactions
88 Replies
9K Views
Katika kikao cha leo cha bunge Mbunge Anne Kilango Malecela amemuomba Waziri mkuu atoe kauli ya Serikali juu ya suala la Vyama vya siasa kupita kwenye majimbo ya wenzao na kuwakosoa: My take. CCM...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
Thursday, July 26, 2012 SMZ ipo tayari kutoa mkopo mkubwa kwa ajili ya Meli kubwa itakayokidhi mahitaji ya kusafirisha Abiria na Mizigo Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kuna wakati nilisema watu wengi walio kwenye nyanja za siasa wamekua kikwazo kikubwa cha maendeleo.Nasema haya kwa sababu katika pitapita zangu huku mkoa Morogoro katika kijiji cha Ruaha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi karibuni Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali alitoa madai kuwa viongozi na watendaji wa Serikali wamekuwa wakiipuuza ofisi yake kiasi cha kupuuza ushauri wa kitaalamu unaotolewa na ofisi hiyo...
1 Reactions
405 Replies
31K Views
Hatimaye mahakama ya Igunga inayosikiliza kesi ya kupinga matokeo ya Ubunge Igunga inazidi kuwa ngumu baada ya habari kuwa waziri wa barabara nk kukataa kufika mahakamani kutoa ushahidi. Magufuli...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Pinda aliitisha kikao hicho ili wabunge wa Kamati ya Nishati na Madini waache kuishinikiza serikali kumwajibisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi, ambaye anatuhumiwa...
0 Reactions
0 Replies
798 Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Col. Issa Njiku, amechakachua maoni ya wananchi wa Missenyi kwa kuanzia na kata za Kyaka na Kilimililie ambako wananchi walipaswa kutoa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Halmashauri ya Manispaa ya Temeke imepima viwanja 1,800 katika eneo la Gezaulole ikiwa ni mwendelezo wa utekelezaji wa Mradi wa Upimaji viwanja. Katika awamu hii ya pili, inatarajiwa kuuza fomu za...
0 Reactions
27 Replies
9K Views
Back
Top Bottom