Watanzania tumebakiza takribani miaka mitatu tuingie kwenye uchaguzi mkuu wa rais, bunge na madiwani. Nashangaa kuona/ kusikia kuwa kuna wana siasa wameanza kujinadi kwenye magazeti na redioni kuwa wako tayari na wanauwezo kwa kutuongoza.. nionavyo mimi waache mbwembwe na majitanuzi ya maneno.
WAACHE TUTAWAPIMA WENYEWE, KWANZA BADO NI MAPEMA MNO.
WAACHE TUTAWAPIMA WENYEWE, KWANZA BADO NI MAPEMA MNO.