Wapwani washinda kesi step 1, Wasema Pwani Sio Kenya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapwani washinda kesi step 1, Wasema Pwani Sio Kenya.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdulahsaf, Jul 25, 2012.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  MRC Special Series Part 1- YouTube

  [​IMG]
  kesi yetu koti ya kenya imetoa uamuzi wake,,,,,serikali haIkuleta ushahidi wa kutosha kwa hio MRC sio kundi haramu tena,,,,,,tulidumisha amani kama kawaida yetu japokua polisi walikua wengi na teargass zao mikononi,bunduki na mbwa wao wakipolisi,,,,,tuliondoka bila kusababisha fujo,,,,nawapongeza wapwani wote tuliokua nao tangu harakati hizi zianze na tunashkuru mungu kwa ushindi,,,,,tutawatangazia siku ambayo tutafanya mkutano wa amani na wakumshukuru mungu,,,,,,,bado tunasema hatutaki kumfukuza mtu yeyote ambae si mpwani ila tu ni haki yetu wapwani ndio tunataka,,,,uwamuzi uko kwetu sasa wala sio kwao,,,,,,,,PWANI SI KENYA.
   
 2. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wapwani washinda kesi step 1, Wasema Pwani Sio Kenya.
  BONYEZA VIDIO CHINI
  MRC Special Series Part 1- YouTube

  [​IMG]
  kesi yetu koti ya kenya imetoa uamuzi wake,,,,,serikali haIkuleta ushahidi wa kutosha kwa hio MRC sio kundi haramu tena,,,,,,tulidumisha amani kama kawaida yetu japokua polisi walikua wengi na teargass zao mikononi,bunduki na mbwa wao wakipolisi,,,,,tuliondoka bila kusababisha fujo,,,,nawapongeza wapwani wote tuliokua nao tangu harakati hizi zianze na tunashkuru mungu kwa ushindi,,,,,tutawatangazia siku ambayo tutafanya mkutano wa amani na wakumshukuru mungu,,,,,,,bado tunasema hatutaki kumfukuza mtu yeyote ambae si mpwani ila tu ni haki yetu wapwani ndio tunataka,,,,uwamuzi uko kwetu sasa wala sio kwao,,,,,,,,PWANI SI KENYA. ​
   
 3. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Ikiwa Pwani si Kenya, sasa iwe wapi?
   
 4. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Nimeishuhudia hii habari Citizen TV. Jamaa wameshangilia kweli. Waziri wa sheria Eugene wa Malwa anasema hawezi kuruhusu watu wanaotaka kujitenga wafanye wanavyotaka. Mahakama jamani ni kitu cha ajabu yaani watu wanaimba kila kukicha ati Pwani si Kenya wanataka wajitenge mahakama inaenda kuwabariki. Hali itakuwa tete manake nimemuona jamaa mmoja akisema Allah amemp ushindi aliokuwa akiutaka! Ndugu zetu wa uamusho nao watakuwa wamepewa munkari kudai Visiwa si Tanzania.
   
 5. B

  Bubona JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Si Visiwa tu, bali watadai Visiwa na Pwani si Tanzania!!
   
 6. M

  MgungaMiba JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2012
  Joined: Aug 28, 2011
  Messages: 890
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 80
  Iwe Pwani!
   
 7. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  wamechelewa
   
Loading...