Uamsho watawanywa kwa nguvu na FFU viwanja vya Malindi ZNZ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uamsho watawanywa kwa nguvu na FFU viwanja vya Malindi ZNZ

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by fisadigamba, Jul 20, 2012.

 1. fisadigamba

  fisadigamba Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zilizonifikia hv punde, Uamsho wakisoma dua kwa ajili ya wahanga wa meli ya Seagull iliyozama hapo jana wametawanywa kwa kupigwa mabomu na kikosi cha kutuliza ghasia FFU kwenye viwanja vya malindi mjini Zanzibar.
   
 2. fyddell

  fyddell JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 2,082
  Likes Received: 773
  Trophy Points: 280
  Nami nimeipata muda si mrefu. Ila cha kujiuliza; kwani walikuwa wakivunja amani hadi watawanywe kwa mabomu? Hii serikali yetu jamani!!!
   
 3. salito

  salito JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  Mhh yaan unamaana walikuwa hawafanyi chochote kingine zaidi ya kusoma dua tu???halafu ndioo wakavamiwa na kuanza kuadhibiwa?naomba habari kamili mkuu..
   
 4. fisadigamba

  fisadigamba Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo ndio nashindwa kuelewa. cjui tutafika? Hv serikali si bora iongeze juhudi katika uokoaji kuliko haya mambo sasa?
   
 5. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inasemekana ni askari wa Jamhuri ya Muungano ni vikosi vya KMKM vilivyovamia
   
 6. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,537
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Picha kwa hisani ya mdau wa Twitter.
   
 7. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Hawa uamsho wasikilizwe labda wana hoja ya msingi
   
 8. Collins

  Collins Senior Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 9. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  isee hali sio nzuri

  Picha kwa hisani ya Godwin mwaipembe

  [​IMG]
   
 10. d

  dguyana JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo la mtu mwoga hukiogopa hata kivuli chake. Haya lete bia nyingineeeeee.
   
 11. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lazima kuna kitu.....lakini hawa si wanamsimamo mmoja na serikali? Kwa nini wanapigwa mabomu?
   
 12. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Hii sijaifurahia hata kidogo kama wamefanya hivyo!
   
 13. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  kwanini hujaipenda? serikali ipo kazin kurudisha amani
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kwani jamaa walivunja amani??
   
 15. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  serikali chokozi
   
 16. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Suluhu ya kweli ni Serikali 1 katika nchi 1 moja ya Tanzania
   
 17. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nipo hapa maeneo ya Maisara naona magari ya polisi Defender na magari kibao yanazunguka na kupiga mabomu ya machozi"
   
 18. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,167
  Likes Received: 1,102
  Trophy Points: 280
  Jeshi la wananchi limewapiga bomu wana uhamsho wkt wakiwaombea dua marehemu 69 waliozikwa leo
   
 19. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #19
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Aina mpya ya maombolezo?
   
 20. s

  sawabho JF-Expert Member

  #20
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
   
Loading...