Wakuu,
Hii Taasisi imedhalilishwa sana na Ma Rais wa Miaka ya hivi Karibuni,
Thats why kila mtu anafikiri anaweza kuwa Rais, tusiwalaumu wanaoji advertise kuwa wana sifa za kuwa Marais ilhal hivyo...
Wakiondoka kwenye viwanja hivyo kuelekea kwenye chopa
zoezi la utoaji kadi za chadema
Millya akihutubia Kata ya Mererani
miongoni mwa vitu vilivyorejeshwa na waliokuwa wanaCCM
Source: Habari...
Kwa kutumia chombo cha kupembua pumba kutoka nafaka kiitwacho Truth-JFmeter. Katika kipimo cha efficient leadership scale yafuatayo ndiyo majibu ya uwezo alionao Mheshimiwa Zitto Kabwe katika...
JUMATANO, JULAI 25, 2012 04:45 GABRIEL MUSHI NA MARIAM AYUBU
ALIYEKUWA mgombea ubunge Jimbo la Moshi Mjini kupitia chama cha NCCR Mageuzi, Faustine Sungura, amezidi kumkaba koo Mbunge wa jimbo...
Chadema imepenya hadi vijijini kwa sasa. Hivi kuna kiongozi wa ngazi yoyote wa Chadema aliewahi kujiuzulu kwa kushindwa kutumikia angalau chama chake tu? Mikoa kama Arusha, Kilimanjaro, Mbeya na...
Mbunge wa viti maalum Ester Bulaya (CCM) nae amekanusha kumpigia debe Zitto kwenye Urais.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, ameandika;
Nasikitika sana kuambiwa kuwa nimempigia debe urais mh...
Leo jioni hii katika kipindi cha dira ya dunia cha BBC kulikuwa na mjadala kuhusu kuzama kwa meli MV Skagit hapa Tanzania wakati ikitoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar. Walioalikwa ni Said Kubenea...
Home » »
400 WAJIUNGA NA CHADEMA
na Joseph Malembeka, Morogoro
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Morogoro kimeendelea kuzoa wanachama kutoka vyama mbalimbali ambapo juzi...
- Ninashangazwa sana na the fact kwamba Waziri Wa Zanzibar amejiuuzulu kutokana na ishu mbili za ajali za meli katika uwaziri wake, lakini haina heshima wala praise kutoka kwa Wanaharakati kutoka...
Utaratibu mbovu watu walalamika waandishi wako taratibu watu wameaamka saa kumi usiku kuwahi namba mpaka sasa bado wapo mimi nilipata namba 158 nimenda kazini nimerudi nasikiliza namba bado...
katika zoezi la usajili wa vitambulisho vya taifa linaloendelea hapa jijini Dar es salaam imeonekana watu wengi ambao sio raia wa Tanzania wanapeleka kadi ya kupigia kura kama kiambatanisho wakati...
Chadema kinatazamiwa na wengi kama chama mbadala wa CCM, ambacho kinapoteza imani yake kwa wananchi wengi sasa, (kwa wanaoamini hivi).
Kama chama mbadala, binafsi, nilitaraji CHADEMA kitakuwa na...
Jenista Mhagama ametumia muda wa matangazo kuzipigia debe bidhaa za azam, amefanya tangazo la biashara kabisa, Je hii haikinzani na kanuni zao? (just asking!) inawezekana kala mkwanja kufanya...
MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) uko hatarini kufilisika na kupoteza fedha za wanachama wake.
Hii inatokana na serikali kushindwa kurejesha katika mfuko huu, mabilioni ya shilingi...
Jumuiya na Taasisi za Kiislamu imepanga kwenda mahakamani kuzuia zoezi la sensa na kupinga kauli iliyotolewa na Sheikh Mkuu wa Baraza la Waislamu (Bakwata), Mufti Issa Shaban Simba, kwamba...
Ni vyema sasa sheria za uchaguzi zikarekebishwa ili angalau mshindi wa pili na watatu waliogombea uraisi kwa vyana vya siasa watakao shindwa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu kuingia...
Mwenyekiti wa chadema wa moja ya kata katika arumeru mashariki bw nuru macha na wanachama wengine 15 wa chama hicho wamehamua kujiunga na ccm
source Daily News...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.