Naibu Katibu Mkuu wa chama cha Mapinduzi Zanzibar Vuai Ali Vuai.
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimemtaka makamo mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, Amani Abeid Karume na baadhi ya...
Looking for your contributions for the book in the making process. It will be released early 2015.
Contents
1. Political, social, cultural, and economic context of Tanzania
2. Who is Jakaya...
Kitendo cha M'kiti wa CCM kutumia fedha za walipa kodi kwenda Mbeya 'kuwahonga' wakazi wa kule kwa kutangaza mradi mkubwa wa maji huku akiwabeza CDM kwamba hawana lolote katika kuwaletea wananchi...
Habari za hivi karibuni kuwa ngome ya CHADEMA ilisambaratishwa inaonekana kuwa hazikuwa sahihi kwa eneo la Mgadirisho, Usa-River na Meru kwa ujumla wake. Watu wengi wa eneo hili na maeneo ya...
kwenye majumusiho ya bajeti ya viwanda na biashara, waziri kigoda , nimemwona akitoa majumuisho ametetea wawekezaji waliobinafishiwa, kuwa viwanda vya korosho tanzania vimeshindwa kuendelezwa kwa...
Jamani nomba kuuliza kama kunamtu anajua nn kinaendelea juu ya huyu jamaa maana isije ikawa anarudi bana maana nilisikia kunawabunge pamoja na kamati ya nishart walikua wanamtetea sijui imefikia wapi?
Kwamba sasa vita au nia ya kugombea urais imekuwa gumzo si ndani ya CCM bali nje ya CCM. Hapo tumefika pazuri.
Mwaka 2005, kulikuwa na mnyukano mkali ndani ya CCM. Mimi nilisafiri hadi Dodoma...
Nipo hapa ukumbi wa mgodi wa GGM yupo mwakilishi toka SSRA anayejulikana kwa jina Ngowi anajribu kutoa ufafanuzi wa sheria kandamizi ya SSRA lakini watu hawamwelewi hali ni tete wafanyakazi...
Kwenye barua yake kwenda kwa uongozi wa juu wa gazeti la mwananchi, hii ni sehemu ya barua yake.
Nasikitika kutumia nafasi hii kukuandikia kukutaarifu kuwa gazeti lako la Mwananchi la Julai 23...
naona mambo yanzidi kwenda mrama kila sehemu.. Ule mgomo wa walimu uliokuwa ukisuasua sasa ni dhahiri shairi umeibuka kwa nguvu..
Baada ya kutangaza kuanza mgomo wiki chache zilizopita.. Swala...
Mheshimiwa mbunge naomba ulitolee tamko hili la viwanja vya Gezaulole!
Kwanza wale waliokuwa na mashamba yale walidhurumiwa na wilaya ya temeke kwa kisingizio cha uendelezaji mji,lakini ilikuwa...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na ujumbe wa Uongozi wa Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,ukiongozwa na...
Sakata la kusimamishwa Mkurugenzi wa Tanesco limeingia hatua mpya.
Habari za uhakika zinasema baada ya viongozi wa Wizara ya Nishati na Madini kumgusa mtu wa Rostam na Ngeleja na kutishia...
Umwagikaji wa damu unaovihusisha vyombo ya dola katika kulinda maslahi ya watawala sio jambo salama.
Vyombo vya dola havipaswi kuegemea chama au jamii fulani katika kutekeleza majukumu yao...
Zitto ni mfano mmoja wa maraisi watarajiwa lakini Tanzania ni lazima tujiulize ni viongozi gani tunawataka na ni jinsi gani tunaweza kuendeleza Tanzania kwa kizazi kijacho.
Tanzania ni nchi ambayo...
Wandugu zangu,
Mnakumbuka enzi za baba moi na akina oginga odinga, saitoti, njonjo nk, au kule kwa mzee robati mugabe??
Hawa jamaa ni kiboko , walipoona wapinzani wanazidi kupata nguvu basi...
Na Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar
Mamlaka ya Usafiri wa Baharini Zanzibar imezifutia rasmi hati ya kufanya kazi Meli ya Mv.Kalama, Mv.Seagul na Mv.Sepideh kutokana na meli hizo kutokukidhi hali ya...
Viongoziwa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Jumuiya ya Madaktari na Madaktari waliofukuzwa kazi na wengine kusitishiwa usajili wa leseni zao za muda walikutana jijini Dar es Salaam jana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.