Hivi kwanini Mabumba anapokuwa mwenyekiti wa bunge lazima kuwe na mtifuano?

Ikwanja

JF-Expert Member
Jul 12, 2011
2,082
581
wanabodi, ni kwa kipindi sasa imekuwa ni dhahili kuwa mwenyekiti wa bunge ndugu mabumba hajui kuongoza bunge, hivi kwa nini anapokalia kiti lazima kuwe na vurugu? ni kwamba hana uwezo? na waliomuweka hapo hawlioni hilo? au ndo yale yale ys Udhaifu? Inakera sana
 
Ameruhusu akili kubwa kutawalliwa na akili ndogo. Kuna siku nilisikia eti naye ana Masters ya Economics. Sijui itakuwa ya chuo gani maana kwa muonekano hata Lusinde anaonekana kasoma kuliko huyu.
 
Ukitaka kujua kwa nini Mabumba kiti kinamshinda,jitahidi uongee nae live ama umsikie katika mormal talks zake,jamaa ni full corrupt and hupenda sana kujipendekeza na kuridhisha wakubwa,nimewahi kaa nae mahali fulani kwa masaa kadhaa,ni full pumba hujawahi ona.
 
Ameruhusu akili kubwa kutawalliwa na akili ndogo. Kuna siku nilisikia eti naye ana Masters ya Economics. Sijui itakuwa ya chuo gani maana kwa muonekano hata Lusinde anaonekana kasoma kuliko huyu.

Tehe tehe tehe kwi~kwi~kwi nimekubali Mabumba aka KUWASHWAWASHWA
 
wanabodi, ni kwa kipindi sasa imekuwa ni dhahili kuwa mwenyekiti wa bunge ndugu mabumba hajui kuongoza bunge, hivi kwa nini anapokalia kiti lazima kuwe na vurugu? ni kwamba hana uwezo? na waliomuweka hapo hawlioni hilo? au ndo yale yale ys Udhaifu? Inakera sana

Mabumba = Mapumba.

what do you expect? tangu lini pumba zikatoa mkaa
 
huwa namfurahi sana akiongoza huyo kumbuba...kwani ndio komedy na mipasho inapoanza huyu jamaa ni dawa tosha ya kuondoa stress mjengoni keepit up mabumba
 
Hana sifa, anatumia nguvu baadala ya hekima na busara, nina wasiwasi kama familia yake iko vizuri maana jamaa anaonekana usiku huwa halali anakariri kanuni then asubuhi anakuwa tayari ameshasahau, ana mapungufu.
 
Huyo mzee ni juha! pia anamaneno ya kike kama muimba taarabu, nikionaga amekaa kwenye kiti huwa nazima TV yangu, kwa maana ni kero, ili kuepusha akili yangu isivurugike huwa sina hata hamu ya kuangalia mjadala chini ya huyo Mzee!
 
Kwa taratibu/kanuni za bunge wanachaguliwa wenyekiti 3 kumsaidia Spika na naibu wake kuongoza vikao vya bunge. Ni lazima mwenyekiti mmoja atoke Zanzibar na angalau mmoja awe mwanamke. Tatizo toka bunge la tisa la Spika Sitta ni mwenyekiti toka Zanzibar. Jamaa alikua anachemsha kama tunavyomuona Mabumba sasa. Sijui jamaa wana matatizo gani,lakini hii ya Mabumba sasa ni zaidi. Huyu jamaa hana uwezo kabisa wa kuendesha vikao.
 
Jina lenyewe pumba! Unategemea kupata nini kutoka kwenye pumba? Pia huu ni udhaifu wa kura ndioooo!utadhani hakuna mwenye akili zaidi ya hizo pumba. This country bwana!!
 
Tathmini ya Ubora wa Viongozi wa Bunge 2011:

1. NDUGAI, JOB YUSTINO;
Amejitahidi sana kukwepa upendeleo wa kisiasa na kuilindaserikali; haoneshi utashi wake kumiliki mamlaka aliyopewa na Kanuni za Bungeanapoongoza vikao.
USIKIVU KWA WABUNGE 2.500
UZINGATIAJI KANUNI 2.625
UPENDELEO WA KISIASA 2.5625
UZINGATIAJI HOJA 2.375
USHABIKI BUNGENI 3
JUMLA KIWANGO 13.0625
WASTANI 2.6125 (DARAJA LA TATU)

2 SIMBACHAWENE,GEORGE BONIFACE
Msikivu kwa Wabunge haswa wenye HOJA zenye maslahi kwaTaifa; Amejitahidi sana kukwepa upendeleo wa kisiasa na kuilinda serikali;Anayumbishwa na makundi au siasa.
USIKIVU KWA WABUNGE 2.125
UZINGATIAJI KANUNI 2.3125
UPENDELEO WA KISIASA 3.28125
UZINGATIAJI HOJA 2.09375
USHABIKI BUNGENI 3.4375
JUMLA KIWANGO 13.25
WASTANI 2.65 (DARAJA LA TATU)

3 MAKINDA,ANNE SEMAMBA ;
Imara kwenye kanuni na kuzingatia hoja; Anayumbishwa naushabiki kisiasa; si msikivu kwa wabunge.
USIKIVU KWA WABUNGE 3.03125
UZINGATIAJI KANUNI 2.65625
UPENDELEO WA KISIASA 3.46875
UZINGATIAJI HOJA 2.75
USHABIKI BUNGENI 2.9375
JUMLA KIWANGO 14.84375
WASTANI 2.96875(DARAJA LA TATU)

4. MHAGAMA, JENISTERJOAKIM; Anajitahidi sana kuzingatia kanuni; Anayumbishwa na makundi kisiasa; simsikivu kwa wabunge.
USIKIVU KWA WABUNGE 3.21875
UZINGATIAJI KANUNI 3.15625
UPENDELEO WA KISIASA 3.5
UZINGATIAJI HOJA 3.53125
USHABIKI BUNGENI 3.3125
JUMLA KIWANGO 16.71875
WASTANI 3.34375(DARAJA LA TATU)

5 MABUMBA,SILVESTER MASELE ;
Haoneshi ushabiki wa wazi wa kisiasa; hushindwa kuhimilimivuto ya makundi na upendeleo wa kisiasa; Si msikivu kwa wabunge.
USIKIVU KWA WABUNGE 4.25
UZINGATIAJI KANUNI 4.25
UPENDELEO WA KISIASA 3.78125
UZINGATIAJI HOJA 3.90625
USHABIKI BUNGENI 3.25
JUMLA KIWANGO 19.4375

WASTANI 3.8875 (DARAJA LA NNE)


ANGALIZO LA VIWANGO:
1.00 – 1.49 = Uongozi Mzuri Sana,
1.50 – 2.49 = Uongozi Mzuri
2.50 – 3.49 = Uongozi wa Wastani
3.50 – 4.49 = Uongozi Dhaifu
4.50 – 5.0 = Uongozi Dhaifu Sana

Taarifa imetolewa kwa waandishi habari na wanaharakati waliohudhuria CPW
 
Mzee wa kuwashwawashwa angejiudhuru nafasi ya uenyekiti km waziri wa uchukuzi znz
 
Mkuu tanganyika2 hii nimeipenda, somehow fair analysis. Na ingekuwa veme kama wangelipwa mshara kwa mtindo huu wa performance appraisal!
 
Back
Top Bottom