Nchi hii inaangamia kwa kukosa viongozi wenye maarifa.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchi hii inaangamia kwa kukosa viongozi wenye maarifa..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zubedayo_mchuzi, Jul 26, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Nchi ya Tanganyika inapotea na kuangamia kwa kukosa Viongozi wenye Maarifa.
  Mawazo yao yamejawa na husda na tamaa za kuishi vizuri wao na familia na bila kumkumbuka yule wa hali ya chini.

  Viongozi wamekosa uzalendo na utaifa zaidi kwa kuwatumia wachache wenye maslah nao kuliko wale walio wengi wanao hitaji ubunifu wa viongozi wao katika kupiga Hatua.

  Uongozi umekuwa kichaka cha kufichia maovu na kuwaibia wenye haki na Rasmali za taifa hili.
  Ni mtazamo tu wala usijenge.
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Hukumu yao imekaribia, none of them shall go unpunished! Mark my words
   
 3. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Moto wa duniani na wa mwenyezi mungu.
   
Loading...