jinsi gani ya kuomba hifadhi ya kisiasa nje ya nchi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jinsi gani ya kuomba hifadhi ya kisiasa nje ya nchi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bigmukolo, Jul 26, 2012.

 1. b

  bigmukolo Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mi nimechoka kuishi tz coz hakuna fursa yoyote ile na siasa inaanza kuleta vurugu.... sasa mwenye uelewa anijuze taratibu za kufuata wakati wa kuomba hifadhi za kisiasa especially napenda ujerumani canada japan au australia,,,,,nawakilisha
   
 2. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Itabidi ukurupushane na serikali hata ukiweza upange njia za kutaka kuipindua japo feki,kisha ukimbie nje ya nchi.
   
Loading...