Majengo hospitali ya rufaa singida bado shilingi bilioni mia nane yaweze kutimia

Makame

JF-Expert Member
Jan 3, 2008
512
60

Wana JAMVI

HOSPITALI YA RUFAA SINGIDA inadai shilingi bilioni mia nane kukamilika. Taarifa hiyo alipewa Mheshimiwa Dkt Seif Rashid alipofanya ziara mkoani humo jana na Mtaalamu wa Chuo kikuu cha Ardhi.

Source Radio One (NEWS 23/07/2012).

Question

800,000,000,000/= ??????????????????????????????????????//

Wanajenga MJI au wanajenga Hospitali?????

Nawasilisha
 
Hiyo ndio taarifa aliyopewa mheshimiwa naibu waziri wa afya.

Nimeleta jamvini muitafakari
 
Off topic kidogo... Jana nilikuwa nasikiliza radio fulani kuhusiana na ujenzi wa hiyo hospitali na kuna kiongozi mmoja akawa anaeleza kwa kwa kasi ya utoaji fedha wa serikali hivi sasa na ukilinganisha na mahitaji, ujenzi wa hospitali hiyo utachukua miaka 90 kukamilika. Back to topic...
 
Wana JAMVI

HOSPITALI YA RUFAA SINGIDA inadai shilingi bilioni mia nane kukamilika. Taarifa hiyo alipewa Mheshimiwa Dkt Seif Rashid alipofanya ziara mkoani humo jana na Mtaalamu wa Chuo kikuu cha Ardhi.

Source Radio One (NEWS 23/07/2012).

Question

800,000,000,000/= ??????????????????????????????????????//

Wanajenga MJI au wanajenga Hospitali?????

Nawasilisha

hivyo vijisenti tu. Bil. 8 ni gharama ya matibabu ya viongozi wakuu wasataafu wa TZ wasiozidi 8 kwenye bajeti ya mwaka huu.
 
Wana JAMVI

HOSPITALI YA RUFAA SINGIDA inadai shilingi bilioni mia nane kukamilika. Taarifa hiyo alipewa Mheshimiwa Dkt Seif Rashid alipofanya ziara mkoani humo jana na Mtaalamu wa Chuo kikuu cha Ardhi.

Source Radio One (NEWS 23/07/2012).

Question

800,000,000,000/= ??????????????????????????????????????//

Wanajenga MJI au wanajenga Hospitali?????

Nawasilisha

Wanaandaa mazingira ya kusema. Serikali hina pesa. Tupo kwenye mchakato kutafuta wafadhili.
 
TUPATE UHAKIKA WA HILI

KWANI HIZO NI PESA NYINGI SANA, inakaribia asilimia 6 ya matumizi ya serikali kwa 2012/2013.

Aidha, 1/8 ya fedha hii inaweza kutosha kujenga majengo kama ya Muhi2 na Change ikabaki.

We need seriousness
Inawezekana makosa yakawa ya mtangazaji.
 
TUPATE UHAKIKA WA HILI

KWANI HIZO NI PESA NYINGI SANA, inakaribia asilimia 6 ya matumizi ya serikali kwa 2012/2013.

Aidha, 1/8 ya fedha hii inaweza kutosha kujenga majengo kama ya Muhi2 na Change ikabaki.

We need seriousness

Nimefika ktk hiyo hosptal,majengo yamekamilika labda bado vifaa,kwa hiyo itakuwa ni makosa ya msomaji wa hiyo taarifa.hivi anajua 800 bilion?haiwezekani
 
kwanza kabisa inabidi kuutambua mchango mkubwa wa RC WA SINGIDA kufanikisha mradi huo.jamaa ni jembe ile mbaya,mchapakazi,sio dhaifu ameibadilisha sana singida.kuhusu majengo yamekamilika yote,labda vinahitajika vifaa na kiukweli haviwezi kufika bei hiyo,kama sio typing era basi msomaji kachanganya.
 
mimi ni daktari niko singida,kwa ramani yetu na vifaa vinavyotakiwa,hiyo ndiyo pesa inayotakiwa,unayesema imekamilika ni mwongo sana,sehemu iliyokamilika ni OBGY(wakinamama) na OPD.HOSPITALI INAYOJENGWA NI YA KISASA NA HUWEZI KUIFANANISHA NA MUHIMBILI.
 
TUPATE UHAKIKA WA HILI

KWANI HIZO NI PESA NYINGI SANA, inakaribia asilimia 6 ya matumizi ya serikali kwa 2012/2013.

Aidha, 1/8 ya fedha hii inaweza kutosha kujenga majengo kama ya Muhi2 na Change ikabaki.

We need seriousness

Usikute wameshafanya mchakato wa kufungua akaunti ya kuzificha uswisi! Si unajua 2015 siyo mbali?
 
wadau ni bilioni 8 walasio bilioni 800, hii ni hospitali ya Rufaa ya mkoa itahudumia kanda ya kati yote i mean Dodoma and Singida region ikibidi hata Simiyu Region, Ila Mkuu wa mkoa wa Singida pamoja na Umasai wake ni jembe sijawahi ona!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
wadau ni bilion 8 wala sio bilion 800, hjii ni hospitali ya Rufaa itakayo hudumia mikoa ya Tabora, Singida, Dodoma na Simiyu, wadau mkuu wa mkoam wa Singida ni Mmasai ila jamaa ni very seriors man and very pancture tumsup!!!!!!!!!
 
wadau ni bilion 8 wala sio bilion 800, hii ni hospitali ya Rufaa itakayo hudumia mikoa ya Tabora, Singida, Dodoma na Simiyu, wadau mkuu wa mkoam wa Singida ni Mmasai ila jamaa ni very seriors man and very pancture tumsup!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom