Mawaziri - Uwezo wao wa kujifunza ni mdogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawaziri - Uwezo wao wa kujifunza ni mdogo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MchunguZI, Jul 26, 2012.

 1. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Kila siku najaribu kufuatilia mazungumzo ya Bunge na hasa maswali na majibu. Jana waziri wa sayansi na teknolojia alishindwa kabisa kusoma majina ya wabunge wenzake waliochangia ktk bajeti yake. Majina mengine akayasoma kinyume na kuwa matusi.

  Leo tena nimeona naibu waziri wa maji akishindwa kutamka neno calcium. Hii naiona kuwa ni uwezo mdogo wa kujifunza. Ni aibu kwamba waziri anakuja bungeni kabla hajapitia maandishi atakayo yasoma bungeni. Kama wangefanya hivyo lazima wangeuliza maneno yoote wasiyoyafahamu.

  Hii ni ishara kwamba kweli kiwango cha elimu huko bungeni yabidi kipandishwe.
   
 2. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Majina mengine yanasumbua hii sio mada ya kujadili hapa kwani majina mengine yako kam kichina na
  hivyo huweza kukutatanisha uanpokutana nalo 4 the first time
   
Loading...