Vaa gwanda piga kwata

Bourgeoisie

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
656
162
Napendekeza kauli mbiu ijayo iwe ni VAA GWANDA PIGA KWATA. Kupiga kwata hapa kunatafsirika kuwa baada ya kuvua gamba watu wetu wanahitaji kupewa semina juu ya kutambua na kusimamia haki zao. Kupewa semina juu ya nani mwenye kuleta maendeleo ya kweli. Kwa ujumla wakomangwe/wafundwe wasikubali kurubuniwa kwa namna yoyote ifikapo 2015.

Nawasilisha.
 
Tuko bado Vitani unakusanya silaha kurudi home. Hayo yote lazima yatafanyika hata kama siyo kwa kauli yako. VUTA SUBIRA
 
Ni nzuri ila nadhani bado wakati wake. Ngoja tukomboe kwanza nchi yetu!
 
Mimi sijakuelewa bado.
Hebu songa mbele kidogo na ufafanuzi.
PJ, tunao wavua magamba tunahitaji kuwatengeza ili waweze kuelewa vizuri dhamira ya M4C.
Tulionao tayari wanahiji kutengenezwa zaidi ili waondokane na fikra za kurubuniwa kwa vijisenti na kuuza haki zao. Na haya yatafanyika kupitia semina mbalimbali.
Ni mtazamo tu.
 
Back
Top Bottom