Juma Nkamia: Ni nani wamiliki wa mitandao inayokashifu viongozi?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Mbunge Juma Nkamiya amehoji ni nani wa miliki wa mitandao inayokashifu viongozi.

Mbunge huyo amehoji jioni hii wakati bunge limekaa kama kamati kupitisha bajeti ya wizara ya mawasiliano, sayansi na teknolojia. Kasema mitandao hiyo ina matangazo ya Airtel na Vodacom hivyo serikali ianzie huko kusaka wamiliki.

Waziri kasema wamiliki wapo Tanzania na nje ya Tanzania, hata hivyo serikali ina chombo maalum ambacho kinafuatilia mitandao hii.
 
Wewe unaujua huo mtandao? au unatafuta jinsi ya kuiingiza JF kwenye hilo sakata? Kumbuka JF kama JF haimtukani yeyote. Wanaotukana ni Magwanda vilaza.
 
Mtandao unaoheshimika,wenye maaadaili pamoja na darasa lenye hadhi na kila aina ya taaluma! JF itadumu,itazidi kukuwa,italeta wajinga wote na kuwaerevua! Sina mashaka na JF labda kama alikuwa anazungumzia mtandao mwingine! Sifa kubwa ya JF hata ukija na katabia kako uta utabadilishwa! Mungu ibariki JF na wanachama wote.
 
Wewe unaujua huo mtandao? au unatafuta jinsi ya kuiingiza JF kwenye hilo sakata? Kumbuka JF kama JF haimtukani yeyote. Wanaotukana ni Magwanda vilaza.

Mkuu, jf ndo alichokuwa anamaanisha yule mana juz juz hapa yeye mwenyewe kaandikwa humu kuwa amefumwa akivunja amri ya sita kwenye gar! mpaka hapo unaweza kuona kias gan anahasira na jf.
 
Mtandao uliokuwa unakashifu viongozi ni zeutamu na yenyewe imeshafungwa. Sasa hivi kuna mitandao ya kuexchange ideas tu.
Niko interested kujua jibu la January kwa hawa wabunge.
 
Mkuu, jf ndo alichokuwa anamaanisha yule mana juz juz hapa yeye mwenyewe kaandikwa humu kuwa amefumwa akivunja amri ya sita kwenye gar! mpaka hapo unaweza kuona kias gan anahasira na jf.

Kama JF basi kachemka mno kwa sababu yanayoandikwa JF sio maoni ya wamiliki, ni mambo yanayoongelewa mitaani pia. Hivyo ukiidhibiti JF sawa, lakini je, utadhibiti midomo ya watu mitaani?
 
Ana kiwewe!mana walimuandika kafumaniwa na mwandish fulani wa habari huko Arusha...hana mupya huyu!ulimwengu wa woga ulishakwisha...huwez kuzuia mashuz kwa Anal Muscles..ile ni nature lazma ushuzuke!mda wa kuzuia mitandao hakuna mana dunia imebadilika
 
Wewe unaujua huo mtandao? au unatafuta jinsi ya kuiingiza JF kwenye hilo sakata? Kumbuka JF kama JF haimtukani yeyote. Wanaotukana ni Magwanda vilaza.
Acha kujipendekeza JF Huku unatukana CDM unafikiri kufanya hivyo utakuwa hupati ban? Pambaf zako jiheshimu na sisi tukuheshimu
 
Tanzania tuna bahati mbaya sana. Inawekuje tuna wabunge vijana wenye mawazo ya kizamani hivi? Juma Nkamia na exposure yote bado analeta siasa za kizamani hivyo? Inasikitisha! Anayekashifiwa si aende mahakamani? Nini maana ya utawala wa sheria?
 
Mbunge Juma Nkamiya amehoji ni nani wa miliki wa mitandao inayokashifu viongozi.

Mbunge huyo amehoji jioni hii wakati bunge limekaa kama kamati kupitisha bajeti ya wizara ya mawasiliano, sayansi na teknolojia. Kasema mitandao hiyo ina matangazo ya Airtel na Vodacom hivyo serikali ianzie huko kusaka wamiliki.

Waziri kasema wamiliki wapo Tanzania na nje ya Tanzania, hata hivyo serikali ina chombo maalum ambacho kinafuatilia mitandao hii.

Wabunge wa CCM toka Singida sijui wana matatizo gani
 
Mh. Juma Nkamia amekosa hoja. Huwa nina wasiwasi sana na uelewa wa huy mheshimiwa, hasa baada ya kusikia hoja alizozitoa kwenye mjadala wa kuhusu uhalali wa posho kwa wabunge. Mimi nimemweka kwenye kundi la akili ndogo.
 
Aje asome declaration ya JF!!!! Maoni yaliyomo humu ni ya members na haihusiani kwa namna yoyote na wamiliki waliotumika kuandikisha hii kitu bana!!! Pia mengi yanayosemwa hapa kwa wale dedicated member ni ya kweli, tena kweli tupu.. Wale wa kwao wanaowatuma ndiyo wanaandika vya uzushi. Pia SSM wajue wao kwa wao wanachafuana maana siasa zao ni za rafu na uchwara kama livyowaambia live Mfadhili wao Rostam Aziz wakati anaaga!!! Sasa hivi yuko kwa Kibaki anatoa ufadhili ili kupenyeza masuala yake kama alivyofanya hapa TZ shamba la bibi.
 
Mtandao unaoheshimika,wenye maaadaili pamoja na darasa lenye hadhi na kila aina ya taaluma! JF itadumu,itazidi kukuwa,italeta wajinga wote na kuwaerevua! Sina mashaka na JF labda kama alikuwa anazungumzia mtandao mwingine! Sifa kubwa ya JF hata ukija na katabia kako uta utabadilishwa! Mungu ibariki JF na wanachama wote.
jf kiboko yao mkuu mwenyewe huwa halali mpaka apewe taarifa fupi ya siku nini kinaendelea jf sembesu mkamia
 
Back
Top Bottom