Mbunge: Blog na mitandao zinatumika kutukana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge: Blog na mitandao zinatumika kutukana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Jul 25, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mheshimiwa Leticia Nyerere amesema Tanzania haina mamlaka ya kimataifa ya kutumia mtandao wa Internet na kutumia huduma zinazotokana na internet kama E-mail mitandao ya kijamii n.k. Je hayo ni ya kweli?
   
 2. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwa jinsi nilivomuelewa sio hatuna ruhusa ya kutumia internate isipokuwa wasiruhusiwe watu kuitumia kwa nia mbaya kama vile kutukana viongozi na hata pengine ujasusi au ujambazi na mengineyo.Kwani tunayo mifano mingi tu humu mtandaoni kwa kutoa habari za uongo au kugeuza habari na kuifanya iangalike vengine na hata viongozi kutukanwa.
   
 3. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  huyu mjanja kasema kwa sababu anataka JF ifungwe...ndio wabaya wao
   
 4. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ebu fafanua vizuri huyo mbunge wa Chadema ana hasira zake na JF.
   
 5. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,850
  Likes Received: 2,776
  Trophy Points: 280
  TZ Biashara naona Mkuu ulikuwa umechelewa kwenye biashara ndo maana hukumsikia vizuri huyo Mh. Leticia. Kengemumaji ndiye aliyesikia vizuri. Huyu Mh. alimaanisha hivyo kwamba kutumia internet na e-mail kwa Tanzania ni illegal kwa vile hatuna sheria inayoturuhusu kutumia huduma hizo.

  Hivyo ameiomba wizara ifanye haraka kuleta muswada bungeni ili sheria itungwe itakayosaidia hata kuweza kuwabana hao wanaojihusisha na Cyber crime!

  Hebu wanaofahamu haya watusaidie kama huyu Mh. alikuwa sahihi au aliongea ili watu wamwone kwamba naye kachangia?
   
 6. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,974
  Likes Received: 37,560
  Trophy Points: 280
  Mbunge wa morogoro vijijini mama Nkya amesema blog na mitandao inatumika vibaya kutukana watu na ametaka mitandao hiyo idhibitiwe,Ametoa mchango huo wakati akichangia bajeti ya wizara ya mawasiliano,sayansi na teknolojia jioni hii bungeni Dodoma.
   
 7. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Dah... Masikini Dr. Nkya Mungu akuponye haraka huko India.
   
 8. M

  MTK JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  Naye huyo kihiyo! kaona upande hasi tu je mitandao haina upande chanya?! it is a way of life kwa hiyo hawana jinsi hata china wamejaribu sana, lakini technology will always be ahead of such protectionists; with communist mindsets for selfish agenda.
   
 9. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  MB wa Moro vijijini mama Nkya?

  Huyu Kweli siyo yule Mbunge wa VITU MAALUMU, Dr. Lucy Nkya, former Deputy Minister for Health and Social Welfare?

  Jamani hebu sema vizuri kabla sijamshukia kama mwewe huyu Mama, maana mitandao na blogs
  ndizo zilizochangia kumung'oa pale MoHSW
   
 10. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,699
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Bila shaka wana tamani jf ifungwe na kamwe hawataweza kama wakishindwa kwa fb
   
 11. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Hawa waheshimiwa wakaa bure na kula posho yaani wamekosa vya kujadili. Kuna mambo mengin ya maendeleo ya wananchio wao ambayo wanatakiwa kujadili, lakini wanakula posho za vikao kwa kujadili mitandao ya kijamii.

  Wao mbona wanatukana ovyo bungeni na tunawaona katika TV, lakini hawajadiliani kuhusu hilo. Mbona Lusinde alitukana kue Arusha lakini hawakujadili,

  SHAME on YOU ALL.....................

  Jadilini masuala yanayohusu maendeleo ya wananchi na ndio kazi tuliyowatuma huko bungeni na siyo kujadili mitandao. Kama unaona kuna matusi kwa nini unafungua hiyo mitandao???????

  Weka nyimbo za dini au mihadhara ya dini basi yatosha, achana na mitandao.

  Au mmekosa point za kuongea, mmetukana na sasa mnatamani kuongea kuhusu mitandao. Mitandao ni bunge letu walalahoi, tunajiriwadha hapa badala yakufuatilia bunge la Dodoma ambalo halina jipya kila siku ni malumbano na matusi yasiyo na tija kwetu.

  PTYUUUUUUUUUUUUuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!!!!!
   
 12. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Si aligoma kujiuzuru wizara ya afya ...Sasa anafikiri mitandao ya jamii ndio imemg'oa
   
 13. Ghiti Milimo

  Ghiti Milimo JF-Expert Member

  #13
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 60
  Nami nimemsikia,mwanzo mwisho! Kasema hatuna haki ya kutumia email,na mitandao yote kwa ujumla! Amechukua muda mrefu,kuilalamikia mitandao ya kijamii,kwa kutumika vibaya. Na amewaomba wabunge waulete muswaada,utakao dhibiti matumizi mabaya ya mitandao.
   
 14. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #14
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Anataka hata JF izibitiwe ili tusijue habari zao za makesi huko Marekani!
   
 15. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #15
  Jul 25, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  badala ya kujadili nssf! wanajadili mitandao, pathetic! wabunge wa ccm ni janga lingine la kitaifa!
   
 16. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #16
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  mkuu mbona sikuelewi elewi................
   
 17. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #17
  Jul 25, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Mama Nkya hata email address hana halafu anazungumzia mitandao ifutwe!!! Mama Nkya na mitandao wapi na wapi?
   
 18. mndwadage

  mndwadage JF-Expert Member

  #18
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 345
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu mama anataka turudi enzi za chama kushika hatamu. Hivi walitumia vigezo gani kumpa ubunge.??
   
 19. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #19
  Jul 25, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Pesa...
   
 20. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #20
  Jul 25, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Subirini tu wanakuja....nasubiri kweli hiyo bajeti yao...
   
Loading...