Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Profesa Peter Msolla akikagua gwaride la watoto walioachishwa masome kwa takribani mwezi mzima kujiandaa ujio wa mjumbe huyo. swali langu kwa wana-JF je...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wazri wa ushirikiano wa afrika mashariki bwana Samweli Sitta, ametoa angalizo leo bungeni kwa wanawake wa kitanzania kuwa makini na wanaume kutoka nje ya nchi wanaotaka kufunga nao ndoa, kwani...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
IJUMAA, AGOSTI 03, 2012 05:13 NA MAREGESI PAUL, DODOMA MBUNGE wa Ole, Rajab Mbarouk (CUF), amesema kuna meli ya mizigo imebadilishwa na kuanza kusafirisha abiria katika Ziwa Victoria. Kutokana...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kutoa motisha kwa watumishi wa wizara ya afrika mashariki ni busara sana, Lakini mdogo wako kikwete hatambui umuhimu huo, anawanyayasa waalimu, madaktari, wazee wa afrika mashariki na wengine...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
MAMA SALMA TUKUMBUKE WENZIO Kwako Mama Kikwete, Saalam, Pole kwa majukumu mengi uliyonayo mimi binafsi nakutakia mfungo mwema wa Ramadhan na nina imani mwezi huu utakua na manufaa mengi kwako...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Mh. Dr. Harison Mwakyembe ametoa tamko kuwa sasa hivi gari lolote la abiria litakalo onekana limesimama njiani kwa ajili ya abilia wake kuchimba dawa (kujisadia) litachukuliwa hatua za kisheria.
1 Reactions
161 Replies
15K Views
Wana JF kuna tetesi kuwa wabunge watajadili kuhusu sheria ya mifuko ya jamii kesho. please mwenye kujua ni lini watajadili tujuze
0 Reactions
10 Replies
1K Views
katika kile kinachoonyesha nchi inaelekea kuzimu , viongozi wa uvcc- tmk wateka list ya watu walioomba kazi ya sensa ili waingize watu wao. Wahusika wanawaogopa vijana hao hivyo wameamua kuingiza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sina shaka kuwa iko siku serikali itakumbana na mbinu mpya za namna watumishi wake watavyodai haki zao. Baada ya migomo ya watumishi kuishia mikononi mwa mahakama kuu ya kazi kila mara na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kazi ya mabunge yote duniani kote ni kuisimamia serikali ktk shughuli zote za kila siku,inachukuliwa kuwa bunge ni chombo kitukufu kinachowaleta pamoja wananchi ktk kujadili mambo nyeti ya kitaifa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wafanyakazi pamoja na Familia zao wameamua kugomea sensa. Serikali inatakiwa itoe suluhisho la mafao haraka kabla tarehe ya SENSA. SOURCE: RADIO ONE HABARI
3 Reactions
98 Replies
8K Views
Mbunge wa kigoma kaskazini Mh.zitto amefichua ufisadi mkubwa unaofanywa kupitia malipo yasiyohalali ya TANESCO NA SYMBION. TANSECO wanailipa kila siku SYMBION million 152 na katika kila sh.100...
9 Reactions
152 Replies
13K Views
IJUMAA, AGOSTI 03, 2012 05:17 NA MAREGESI PAUL, DODOMA *Aunda kamati ya wabunge watano kuchunguza ufisadi *Waziri Muhongo, Tundu Lissu kutoa ushahidi wao BUNGE limeunda kamati ndogo kwa ajili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Je ni kweli na ni halali kuwa pale Mh. Lugola, Mbunge na ‘Askari wa Akiba’ alipotofautiana na Waziri kwa kutaka posho ya chakula (lishe) iwe sawa kwa Maskari wote, Mh. Dr. Nchimbi (Waziri wa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hali ya nchi imekuwa tete,kila idara ya utumishi wa umma imeingia kwenye mgomo,kinacho lalamikiwa ni madai ya msingi ya haki za watumishi,alkini serikali inayachukulia madai haya kama kero na...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Alisema hayo katika mkutano wake na waandishi wa habari katika Ofisi Ndogo za CCM, Mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam... Mukama alisema: "Kuwa na makundi ni kitu cha kawaida lakini si la mtu fulani...
0 Reactions
81 Replies
8K Views
Jana trh 02/08/2012 SSRA walitoa tangazo kupitia gazeti la Daily news na website yao wakiuarifu umma kwamba fao la kujitoa limesitishwa kufuatia sheria iliyosainiwa na Rais mwezi June 2012. Kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Shija Felician, Kahama | Mwananchi | Agosti 03, 2012 WAKATI sakata la kupinga sheria mpya ya mafao ya watumishi wanaoacha kazi katika sekta mbalimbali likizidi kushika kasi, Kampuni ya...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
wana Jf leo tumehudhuria press Confress pale makao makuu ameongea na wana habari na amedai kuwa UVCCM yao imepoteza muelekeo na sasa inahitaji mabadiliko na hili hapa ni tamko lake nimelileta hapa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
  • Closed
Kuna taarifa zilioenea chini kwa chini kuwa Makamo wa Kwanza wa Raisi wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi ni mgonjwa. Nashangaa tu habari hii imekuwa kama imefichwa sijaisikia kwenye magazeti...
1 Reactions
70 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…