Mhe MREMA akichangia hotuba ya CAG mwezi April 2012, alisema kwamba nji hii INALIWA LEFT RIGHT AND CENTRE, nimeamini, kwani ni kila kukicha watendaji wanasimamishwa? Ndani ya wiki moja Kama siyo...
Yah. kuondolewa thread zinazokiuka sheria, maadili, miongozo na taaluma
Nikiwa mdau mmojawapo wa hapa JF, kumekuwepo na malalamiko mengi kuhusu kuondolewa kwa baadhi ya mada zinazoletwa. Pengine...
Nimefikiria sana suala la kuzama meli zanzibar na nikaangalia usalama wa vyombo vingine nilivyowahi kusafiria tanzania. Nimeikumbuka hii meli Mv Liemba ya lake tanganyika ambayo ni ya zamani sana...
Jaman hamjambo wana jamvi,StarTv mchana huu baada ya matangazo ya bunge wameonyesha tukio moja la mbunge Tundu Lissu akiwa amezuiliwa na polisi kuongea na wanajimbo wake. Polis wametawanya...
Kwa kuanza tu Mheshimiwa Waziri amesema anatoa hotuba fupi. Katika hali inayonivutia zaidi kulisikiliza bunge hili ni namna wabunge wanavyoshangilia utangulizi wa mheshimiwa. Tutajuzana kadri muda...
Vijana wakikamatwa na kuingizwa katika gari la polisi wa FFU siku ilipotokea vurumai katika katika msikiti wa Mbuyuni Mjini Zanzibar ambapo kuliandaliwa sala na dua maalumu ya kuwaombea waliofikwa...
Kizitto Noya, Dodoma
MOTO unatarajiwa kuwaka leo na kesho bungeni wakati wabunge watakapojadili bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini, baada ya kubainika njama za kutaka kuikwamisha bajeti hiyo...
waziri wa zanzibar kasema unafikiri chama ni chako.
Msekwa kasema unavuta pesa kutoka kwa kikwete.
Mukama kasema ziara zako ni za kibinafsi za kujenga chama.
Butiku,kaduma,mzee makamba wamesema...
Wakuu wa JF kila wizara inapohitimisha bajeti yake bungeni, bunge hukaa kama kamati kupitisha bajeti ya wizara husika na wabunge huuliza maswali spesifiki kwa kila kipengele kwa wizara husika. Je...
Swali la Mbunge huyu la papo kwa papo kwa PM jana lilionyesha wazi jinsi mama huyu alivyopoteza mwelekeo na kuingia kiwewe kikubwa kupukutika kwa chama chake hapa nchini katika kimbunga cha M4C...
Taasisi yeyote ile ili iweze kutenda kazi kwa uadilifu, ufasaha na kwa tija ni lazima ifanye kazi kama team, na ukitaka kuwa na team ni lazima uwe na mafunzo, program za mafunzo na mfumo wa...
Ni takribani mwezi mmoja tangu mgogoro wa awamu ya tatu ulipoanza baina ya Madaktari na Serikali, tumeendelea kujionea kila kukicha mambo mengi yanayohusiana na mgomo huo wa madaktari. Ni mwezi...
mijadala ya kujadili rais ajae mara baada ya rais kikwete kumaliza awamu yake ya pili ilianza mapema mara baada yakumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2010,mijadala hii inaonyesha wazi kwamba...
"Ukicheka na Nyani utavuna mabua". Usemi huu unazidi kudhihirika katika nchi yetu hasa katika suala la wafanyakazi kuendelea kukandamizwa bila ya kuwa na mtetezi. Wafanyakazi hawa ndio wamekuwa...
Ikumbukwe hivi karibuni, Rais Kikwete alipangua baraza la Mawaziri kufuatia shinikizo la wabunge kutokana na ubadhilifu wa mali ya umma. Miongoni mwa Mawaziri/Naibu waliopoteza nafasi zao ni...
Wabunge vijana wote watakapomaliza miaka mitano,ambao watakuwa hawajafikisha
miaka 55 ni vema na wao wasilipwe mafao yao mpaka watimize umri huo.Maana kama
hata wale vibarua wanaofanya kazi kwa...
Wana jf natumaini hamjambo,
Nimejiuliza sana lakini sikupata jibu ya kuwa ni vigezo gani vilitumika kugawa form na kupata majina ya watakaopata viwanja.
Manispaa ilitambua kuwa ina viwanja 1800...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.