Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watanzania wenzangu ukweli unauma lakini hapa JF tunaambiana ukweli wa wazi. Serikali haina uwezo wa kutatua tatizo la Madaktari na Walimu bila kubadilisha mfumo kwasababu serikali kwa mfumo wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika maono nimeona rais akitoka nyanda za juu kusini na huyu ndio yule atakaye badilisha nembo ya fedha kutoka twiga kwenda chui na kuvunja laana ya kubwa jinga ya twiga ambaye ana uranium...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Asiye na Wizara Maalumu, Mansour Yussuf Himid amesema CCM haijazuia wanachama wake wakiwamo wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, kutoa maoni yao kuhusu mchakato wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wana Jamii, Tumekua tukiona mwenendo mzima wa ugawaji wa viwanja hapa nchini hususan hapa Dar, umejaa utapeli, unafiki, uzandiki na wizi wa waziwazi. Tunatumika kukusanya hela za wananchi wadogo...
7 Reactions
151 Replies
16K Views
Swali langu kwa Chadema ni kuwa kumekuwa na fununu kuwa kuna vigogo kutoka CCM wanataka kuhamia Chadema. Sasa je wanawasubiri ili mmojawao agombee urais kupitia Chadema?Kama ndio utaratibu utakuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Yataanzia nmc na kuishia PPF
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wafanyakazi wa MGODI WA DAHABU WA GEITA wamenyimwa kibali cha maandano yaliyokuwa yanatarajia kufanyika siku ya jumamosi tarehe 28/07/12 kwa ajili ya kupinga sheria mpya ya mifuko ya hifadhi ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana JF. Mwenyekiti wa chama hicho James Mbatia katoa taarifa za uhakika zimeonyesha kuwa mgao wa umeme unaoonekana ukiendelea nchini una mkono wa baadhi ya wabunge na watendaji wa Tanesco, ambao...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hivi ikitokea Filikunjombe, Nassari na Mdee walisema Zitto anafaa kuwa Rais/ni Rais ajaye; nini mustakabli wao katika siasa? na credibility ya hawa wanasiasa itakuwa vp? na popularity ya Zitto...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Katiba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ya mwaka 1984 (Toleo la 2010) katika Kifungu cha 19 (1) inasema: Kila mtu anastahili kuwa na uhuru wa mawazo, wa imani na wa uchaguzi katika mambo...
5 Reactions
76 Replies
6K Views
Na Florence Majani | 26 July 2012 MKURUGENZI wa Makumbusho ya Taifa, Jackson Kihiyo amesimamishwa kazi kwa muda usiojulikana ili kupisha uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazomkabili. Akizungumza...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mbunge mmoja amemtaka waziri wa uchukuzi mh. Mwakyembe nae ajiuzulu na kumpongeza waziri wa zanzibar wa miundombinu kwa kujiuzulu. Amesema atamshangaa endapo atamuona anasimama bungeni...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Wiazara michezo, Kamati ya Olympic Tanzania wameshirikiana katika mazingira ya ki fisadi kumpa tenda ya kusupply zile jezi mbaya na zisizofutia bwana Dewji ambaye ana kampuni ya UHL Sport ambayo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamvi, Kumekuwa na habari katika nyingi nyingi tu kwenye vyombo mbali mbali vya habari kuwa Katiba ya Ghana ndio Katiba bora kuliko zoote Afrika ! Mi naomba mumwambie Kaka mkubwa akienda...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Ndugu wana JF kuna dhana mbalimbali zimeibuka juu ya sababu ya mabadiliko ya sheria ya mafao ya kujitoa, dhana hizi ni 1. Inasemekana NSSF na PPF wanajiandaa kuwachotea CCM fedha za kampeni 2015...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Asema Kimepata Nguvu Mpya Baada ya Uchaguzi wa 2010 Akiri CCM kujisahau na Kubweteka baada ya 2005 Athibitisha Nape Kuomba fedha moja kwa moja kwa Mwenyekiti. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha...
13 Reactions
53 Replies
4K Views
  • Closed
Wakuu habari! Nimatumaini yangu kuwa tunaendelea vizuri na majukumu yetu ya kila Siku. Nimeamua kuanzisha Uzi huu kwa lengo la kukuza ya kero,maoni,ushauri na chochote toka kwenu ili tuweze...
54 Reactions
476 Replies
64K Views
Wanabodi, Baada ya kuja na mbinu za kisiasa tofauti tofauti hatimaye Dr Slaa, kaja na mbinu mpya ambayo ni harakati bila mikatati na mbinu dhaifu. Dr Slaa sasa kaanza mkakati wa kutaka...
2 Reactions
121 Replies
9K Views
Mnyika ameweka wazi wizi wa Mhando na mkewe na pia Mh. Mkono na Kampuni yake bungeni. Mnyika nakusifu kwa umakini wako na ukweli wako. Na Tume iundwe ili kubaini na wengine kama wale wabunge...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
CHADEMA imepata uungwaji mkono mkubwa toka kwa umma wa Tanzania kwa miaka ya hivi karibuni. Hali hiyo imeenda sambamba na kuporomoka kwa kasi kwa chama tawala, CCM. Chadema kimetumia udhaifu wa...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom