Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Fri Jul 27, 2012 6:23pm GMT * Plans 200-megawatt coal-fired power project * Eyes higher revenues from gold exports * Says has over 130 mln pounds of uranium oxide By Fumbuka Ng'wanakilala...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Katika pita pita yangu nimeona gazeti la The African la New Habari lenye kurasa 72.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Barabara ya Serengeti ilikuwa na manufaa sana kwa Uchumi wetu kwa kuboresha Miundombinu na kukuza utalii. lakini mashirika kibao ya kimataifa yaliipigia kelele mengi yakiwa nyuma ya Kenya eti...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Lazima tuwapongeze viongozi hawa waandamizi wa Wizara ya Nishati kwa kuweza kuhimili mapigo ya mafisadi, kuonyesha jeuri ya Mtanzania na hatimaye kushinda. Ni rare siku hizi kwa viongozi wengi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wazo la Leo (kutoka lililopita). Sifa za huyu mtu ambaye tunataka aje na kuwa Rais wetu na nyuma yake safu nzima ya viongozi wenye uwezi nilisema ni lazima ajitofautishe kwenye mambo kadhaa...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
WANA-JF; Nimelazika kuwaandikia hasa ndugu mwanachama au mshabiki wa CHADEMA na watanzania wazalendo wenye mapenzi mema na nchi yetu popote mlipo ili niwafahamishe yafuatayo; 1. Hakuna binadamu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau karibuni. Mwanza kiongozi Dotto Bulendu,Anikazi na Kazinja. Dar Range,Kubenea. NAWASILISHA.
1 Reactions
58 Replies
5K Views
Lawrence Mafuru, National Bank of Commerce who was The Head of Treasury has been appointed to be the bank's new Managing Director. Lawrence will succeed Christo de Vries. The effective date is 1...
0 Reactions
58 Replies
13K Views
Na Mwinyi Sadallah 28th2012 Baraza la Manispaa Zanzibar, (ZMC), limebandua matangazo ya kupinga Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yaliyokuwa yamebandikwa sehemu mbalimbali za...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
JANGA LA KIFAIFA Rais kikwete leo kazidua garage (karakana) ya ndege za precision katika viwanja vya J k nyerere kwa kukata utepe kuashilia uzinduzi TAfakari picha kwa hisani ya @misupu
0 Reactions
24 Replies
3K Views
UKOMBOZI ni kitu kimoja cha ajabu sana, napenda kukiita cha ajabu kwa sababu wakati watu wengine wanajitahidi kuleta ukombozi wapo wengine wanaojaribu kuzuia ukombozi. Sababu zinakuwepo nyingi...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kijana Zitto Zuberi Kabwe kapata umahiri mkubwa sana kwenye medani ya siasa, anayo mengi ya kujivunia mafanikio ya kisiasa kiuongozi na kiuchumi. Zitto ameweza kuwa chachu ya vijana wengine...
24 Reactions
144 Replies
12K Views
Wana JF, Taarifa za kiintelijensia toka kwa wanaTISS wachache waliobakia na uzalendo kwa taifa lao zinsema, Rais wetu JK ndiye aliyetega mirija kila kona kuhakikisha anachota kila kinachoingia...
10 Reactions
105 Replies
9K Views
Mbunge wa zamani wa Arusha mjini, Mhe. Godbless Jonathan Lema, siku ya Jumapili ya tarehe 29.07.2012 ataingia kwa kishindo jimboni kwa Aggrey Mwanry, huko Sanya akitumia Chopa ya Chadema, maarufu...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Katibu wa uvccm mkoani Ruvuma, Ndugu Robert (40) amepandishwa kizimbani kwa mashtaka ya unyang'anyi na uporaji wa pikipiki (bodaboda). Amekana mashtaka na ameachiwa kwa dhamana hadi tr 14 mwezi wa...
0 Reactions
1 Replies
925 Views
  • Closed
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa, Sospiter Muhongo, amewataka wananchi kuvuta subira wakati akishughulikia orodha ya watumishi wanaolihujumu Shirika la Umeme (Tanesco) kwani yeye si mtu wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tuchangie mjadala wa sekta hizi nyeti tukikumbuka manenoya hayati Mwalimu Nyerere katika kitabu chake cha TUJISAHIHISHE cha mwaka 1962,nanukuu: "Lakini woga unaweza kutokana na tamaa ya kila...
9 Reactions
91 Replies
9K Views
Wateja hufutiwa madeni katika mazingira tata, BoT yachunguza Mtandao wa wezi wapambana kujiokoa Raia Mwema | Toleo la 251 | 25 Jul 2012​ HALI si shwari ndani ya Benki ya Taifa ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Taarifa kwa umma wa Tanzania na vyombo vya usimamizi wa sheria za nchi. Naomba nitumie fursa hii kutoa ufafanuzi wa taarifa zilizojiri kwenye kikao cha baraza la madiwani tarehe 15/05/2012 la...
0 Reactions
36 Replies
7K Views
Ningependa kufahamu ni wakati gani utawala wa sheria huchukua mkondo wake ilihali kumekuwepo na mlolongo mkubwa wa matumizi mabaya ya sheria kukiukwa makusudi ili kuweza kufanikisha lengo la...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom