Ruvuma: Katibu wa CCM kizimbani kwa unyang'anyi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ruvuma: Katibu wa CCM kizimbani kwa unyang'anyi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Filipo, Jul 28, 2012.

 1. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Katibu wa uvccm mkoani Ruvuma, Ndugu Robert (40) amepandishwa kizimbani kwa mashtaka ya unyang'anyi na uporaji wa pikipiki (bodaboda). Amekana mashtaka na ameachiwa kwa dhamana hadi tr 14 mwezi wa nane atakapo rudi mahakamani

  source: Habari na matukio, RFA
   
 2. m

  miti Senior Member

  #2
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kesi ya nyani ukimpelekea ngedele hawezi kuiamua, pia watu wa Ruvuma hamjaamka mnamng'ang'ania nchimbi wakati kilaza tu yule. mbogoro ndo mpango mzima kwanza anauchungu na hilo jimbo amkeni mbona mnalala nyie. nchimbi anakazi ya kuvmbisha mashavu yake na siyo kuwasaidieni wananchi. jamani viongozi wa Songea achei vijana wafanye hiyo kazi ya boda boda kwani hajira zenyewe hakuna mnataka vijana wakaibe?
   
Loading...