Kwa kusoma upepo tu tangu maficho ya fedha za walipa kodi huko Uswisi kuanikwa hadharani, kuna kila dalili ya vitisho dhidi ya hasa wanaoonekana wanaweza kuvalia njua suala hilo. Kinachoendelea ni...
Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi amejea toka India aliko enda kufanyiwa upasuaji hapa akizungumzia hali ya afya yake alipo waita waandishi wa habari nyumbani kwake Mbezi Tangi Bovu jijini...
Kutokana na utafiti wangu binafs kwa kipind cha mwez mmoja uliopita mpaka leo, wafuatao ndio waliotoa kaul ambazo wanaJF (siasa) walizipinga ama hazikukubalika kabisa ama zilileta mashaka. Wapo...
Mhadhiri mwandamizi wa sayansi ya siasa-UDSM dk Benson Bana amesema Chama Cha Mapinduzi bado ni imara ukilinganisha na vyama vingine. Hoja yake ameijenga kwa vigezo hivi:
1. Chama kina ofisi za...
Wakati mchakato wa kukusanya maoni kuhusu katiba ukiwa unaendelea. Jana na leo kulikuwa na semina ya wawakilishi kuhusiana na katiba, wapo baadh ya viongoz kutoka CCM wamekuwa wakitaka kwa wazi...
1.Kushiriki kikamilifu katika vikao vinavyomuhusu na katika shughuli nyingine za chama kadri anavyotakiwa.
2.Kuchangia gharama za uendeshaji chama kwa njia ya ada ya uanachama ya kila mwaka...
Serikali ya Kikwete imeshindwa kabisa wizara ya nishati na madini kwasababu ya mikataba mibaya. Sithani kama Kikwete ataweza kuwakemea mafisadi wa mikataba kwasababu wengi ni marafiki wake lakini...
Wadau,
Kwa Habari za Uhakika toka Serikalini, ni kuwa Gazeti la Mwana Halisi litafungiwa. Yawezekana ni kwakuwa limekuwa likiandika Habari zisizowapendeza Watawala.
Kwa Mujibu wa Mtoa...
Fri Jul 27, 2012 6:03pm GMT
* Gas-rich Tanzania plans royalty hike, signature bonus
* E.African country becoming energy hub
* To introduce new legislation by next year
By Fumbuka Ng'wanakilala...
Wana- JF,
Hivi punde katika kipindi cha maswali na majibu Waziri Mkuu, Pinda ameulizwa swali na Mh. Mchungaji Msigwa kuwa huko Zanzibar kuna tamko limetolewa na kiongozi mmoja kuwataka...
Umati huu ulihudhuria mkutano wa M4C mjini sumbawanga leo tarehe 27 july 2012. Pinda na wenzie wana haki ya kulalamika kwa CDM kwenda kwenye 'majimbo yao'.
Kukutana Diamond Ijumaa
Mikoa Yote Nchini Kushiriki
Abas Syskes, Masheikh Kuunguruma
Gazeti la LULU la leo Jumanne - 03 Januari 2012 linaripoti:
Kongamano la Kitaifa la Uzinduzi wa Jukwaa la...
"Tangu tulipoachana rafiki yangu mwaka ule tukijifunza sanaa ya michoro pale Itigi RC misheni ulikuwa mdogo sana. Sasa umekua mtu mzima hata mimi naonekana mdogo kwako. Mbona unazeeka mapema hali...
Sakata hilo, lilibuka juzi usiku, katika kikao cha Wabunge wa CCM, ambacho kilikuwa kinajadili tatizo la umeme, hali iliyomfanya Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka (CCM), kuibuka na...
Joseph Mihangwa
Toleo la 251
25 Jul 2012
SASA ni ruksa kujadili hatima ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliofikiwa miaka 48 iliyopita, Aprili 26, 1964.
Hili limewekwa wazi...
Mh. Mh. Deo Filikunjombe amestushwa sana na swala la yeye kumsafishia Zitto njia ya Urais. 'Hayo ya Zitto ni ya kupikwa, something wrong somewhere" Anashangaa kwa nini kawekewa maneno mdomoni...
Yakanusha kuwa haikupanga kumuua Dr. Ulimboka na kwamba kinachotangazwa na vyombo vya habari ni vipande vya taarifa visivyo na ukweli wowote na wananchi wapuuze.
Tamko hili hapa;
TAMKO RASMI...
Ni swali ninalojiuliza kila siku lakini sipati jibu,kila siku ya Mungu inayopita watawala wetu wanalala wakiwaza mbinu mpya ya kuzidi kumdidimiza huyu mlalahoi.
Utaniuliza nina ushahidi...
During president Mwinyi's term as a president of this country a minister was suspected of drug trafficking, when he arrived in Germany he was searched, it was embarrassment for this Nation, at the...
Walitetewa sana walionekana miungu watu sasa wanaumbuka.kwa taarifa tu kesho ngeleja atachagia bajeti hii bungeni na atakuwa mchangiaji wa tatu,tukae tayari kumsikiliza mzalendo huyu na shujaa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.