Tanzania tells mining companies to pay 30 pct corporate tax | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania tells mining companies to pay 30 pct corporate tax

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Jul 27, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  [h=1][/h]Fri Jul 27, 2012 6:23pm GMT


  * Plans 200-megawatt coal-fired power project


  * Eyes higher revenues from gold exports

  * Says has over 130 mln pounds of uranium oxide

  By Fumbuka Ng'wanakilala


  DODOMA, July 27 (Reuters) - Tanzania, Africa's fourth largest gold producer, has told mining companies operating for more than five years to start paying a corporate tax of 30 percent, citing rising prices of precious metals at the world market.


  Tanzania's gold export earnings rose 31 percent last year to $1.879 billion from $1.436 billion a year before on higher world prices for the commodity, Sospeter Muhongo, energy and minerals minister, told parliament on Friday.


  The minister said the government wants to earn higher revenues from mining companies due to the rising gold price and added the government had ordered audits of all large-scale gold mines in the country to ensure they started paying corporate taxes after recovering their costs of production.


  "I am instructing all mining companies that have been in operation for more than five years to start paying corporate tax without any excuses," he said.


  "If they claim they are still making losses and can't contribute to the national economy through taxes, they should shut down their mines and leave because minerals do not rot."


  Major gold mining companies in Tanzania include African Barrick Gold Plc, which has four gold-producing mines, AngloGold Ashanti Ltd and Resolute Mining Ltd.


  He did not say which of these mines were affected, but said Geita Gold Mine owned by AngloGold Ashanti and the Golden Pride mine owned by Resolute had already paid a total of 228.5 billion shillings in corporate taxes.


  He said Tanzania was also evaluating 11 bids from investors for a stake in the state-run Buhemba gold mine. The government regained ownership of the mine this year after reversing its 2005 privatisation to a local company amid allegations of graft in the previous sale of the mine.


  It is much smaller than mines run by the big companies.


  The country has also invited bids for a joint venture project to develop a state-run coal mine with 35.5 million tonnes of reserves, the country's energy and minerals minister said Friday.


  The government said the project would also involve construction of a 200-megawatt coal-fired power plant at a cost of $400 million.


  "By June 2012, the State Mining Corp received bids from 16 foreign and local companies to enter into joint venture to develop this project," Muhongo said.


  He said Tanzania has 136.5 million pounds of uranium oxide, with Australia-based miner Mantra Resources given a go-ahead to build a $450 uranium mine at a world heritage park after the project received approval from UNESCO, the U.N. cultural agency.
  © Thomson Reuters 2012 All rights reserved
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Where was this guy 5yrs Ago? a REAL TANZANIAN... Naomba TU CCM Wasimpe Jimbo Agombee Ubunge... hapo

  Watammaliza na CCM-POLITICS 101
   
 3. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Haaa ha ha ha! jimbo gani? yaani apambane na mh Mkono? mbunge wa maisha!!!!
   
 4. p

  papillon Senior Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 122
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Prof angepatikana angalau kuanzia 2010 tungekuwa tunajadili mengine, akirogwa kuchukua fomu siku zijazo wata m pollute.
   
 5. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  KUDOS!!!! Prof!! huo ndio unamamume !!!! hakuna kujiuma Where was this guy before amenifurahisha sana leo isingelikuwa ramadhani ningelimkaribisha japo tusker moja safi sana!!!!
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,549
  Likes Received: 81,990
  Trophy Points: 280
  ....Huyu jamaa anatia moyo sana, sasa tusubiri majibu ya "wachukuaji."
   
 7. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #7
  Jul 28, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  What took you so long?
   
 8. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Ma-brayson huwa hawana mzaha hata siku moja....:hat:
   
 9. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #9
  Jul 28, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sidhani kama atafanikiwa!! Atagonga mwamba tu kwa kuwa mafisadi wana hisa kubwa kwenye makampuni ya madini! Hizo ni propaganda tu za kuhadaa wananchi kwamba serikali inafanya kazi!!
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,549
  Likes Received: 81,990
  Trophy Points: 280
  Mkuu Honolulu ngoja tuone pumzi yake kama anamaanisha anayoyasema au ni usanii tu.


  "If they claim
  they are still making losses and can't contribute to the national economy through taxes, they should shut down their mines and leave because minerals do not rot."
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #11
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,996
  Likes Received: 2,651
  Trophy Points: 280
  Tumeisha wazoea.
   
 12. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #12
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  BAK Mkuu, wala hilo lisikupe matumaini kwani watakachofanya wachimbaji ni kuchimba "bure kwa miaka minne na miezi 11, halafu haooooo! wanaondoka ili kuepuka 30%. Watabadilisha jina la kampuni watakuja kuchimba tena na kutoweka kabla ya miaka mitano.

  Hii mbinu tayari wanaitumia Wachina katika nchi fulani ambako wanapewa msamaha wa kadi kwa miaka mi5, ikifika minne wanabadilishana wao kwa wao. Falsafa ya nzi - Ukijua huu.....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #13
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,549
  Likes Received: 81,990
  Trophy Points: 280
  Ni kweli Mkuu MAMMAMIA, hilo linawezekana kabisa, lakini wale Barrick wako nchini kwa miaka 12 sasa waliingia rasmi nchini mwaka 2000 na wamejitahidi sana kufanikisha wizi wao hata kuwanunua baadhi ya Wabunge ili wasipigwe vita Bungeni na wizi wao mkubwa wanaoufanya nchini dhidi ya dhahabu wanayoichimba. Mbali na Barrick yapo pia makampuni mengine ambayo yapo nchini kwa miaka mitano au zaidi.

  Kwa maoni yangu hiki kipindi cha kutolipa kodi kwa makampuni ya kigeni nchini kipunguzwe toka miaka mitano na kuwa miaka miwili tu.


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #14
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Ni wazo zuri sana. Hilo ni moja ambalo Tanzania ilipaswa kufanya tangu mwanzo, lakini bora kuchelewa kuliko kutofanya kabisa.
   
 15. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #15
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,549
  Likes Received: 81,990
  Trophy Points: 280
  Tuombe Mungu lifanyiwe kazi haraka ili kuwabana hawa "wachukuaji" wanaokwepa kulipa kodi miaka nenda miaka rudi, pamoja na kutajirika kupita kiasi kupitia rasilimali mbali mbali za Tanzania.

   
 16. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #16
  Jul 28, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Haya ndio mambo watanzania tunataka,unasema wazi na utekelezaji unafuatia,hawa watu wanachota madini halafu sisi tunawanyenyekea kuwaomba watujengee miundombinu na mashule,hawahitajiki kutupa vitu hivyo,walipishwe kodi kwa kiwango cha kutosha serikali itajenga miundombinu,hakuna kuwabembeleza
   
 17. I

  IWILL JF-Expert Member

  #17
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Wameona wazungu wamekata misaada kwa msafiri Kafiri(JM) ndio wanatoa adhabu ya kupandisha percent ya mapato na mkataba unasemaje? je mbona mashamba yaliyouzwa kwa miaka miaka mia mbona haijaangaliwa? na mbona hatujambiwa 31% kutoka asilimia ngapi? na kama hela zitapatikana ni kwa ajili ya CCM kuwa madarakani, au kuagiza madaktari kutoka Irani?. au kupeleka waheshimuwa kufanyiwa infussion ng'ambo....CCM wanahaha, just a desperate measure.
   
 18. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #18
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,857
  Likes Received: 4,533
  Trophy Points: 280
  Nitatofautiana na wewe. Kwa uwekezaji wa kwenye madini,mafuta,gesi na maliasili zingine ambazo hazipo perishable,naona hakuna haja ya kuwa na tax holidays. Kwani uwepo wa maliasili hizo tayari ni incentive ya kutosha kwa kuvutia wawekezaji. Hatuna haja ya kubembeleza mwekezaji kwenye sekta hizo wakati zenyewe tu zinajiuza vya kutosha.

  Kwenye uwekezaji kama wa kwenye hotels na wa kwenye sekta zingine za kutoa huduma kwa jamii,basi hapo hiyo taxi holiday ya miaka 2 inaweza kufaa. Lakini lazima TRA na TISS wawe na kitengo imara cha economic intelligence ili kufuatilia na kuzuia janja yoyote katika kufanya udanganyifu na katika makampuni kucapitalise hiyo tax holiday kwa manufaa yao zaidi,badala ya lengo kuu la kupewa msingi imara wa uwekezaji.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #19
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,549
  Likes Received: 81,990
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana nawe kabisa na hili la udanganyifu limeshamiri sana. Nakumbuka mwaka jana baadhi ya makampuni ya uchimbaji gas yaligundulika katika mahesabu yao kuweka gharama za uchimbaji toka nchi nyingine za Afrika ili tu kuongeza gharama zao za uzalishaji. Kuna haja ya kuwaajiri Watanzania ndani ya machimbo hayo ili kufuatilia uzalishaji wa kila siku na kurekodi uzalishaji huo ili kupunguza udanganyifu mkubwa unaofanywa na makampuni haya ya nje. Pia haitakuwa vibaya mahesabu yao haya kwa upande wa Tanzania yakaguliwe na CAG ili kuhakikisha hakuna uongo wa aina yoyote katika hizo financial statements.

   
 20. T

  Taso JF-Expert Member

  #20
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,649
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Habari haina context, yani serikali imeamua tu kutangaza kuongeza kodi kwa sababu bei ya dhahabu kwenye soko la dunia imepanda? Hakuna sheria ya kodi labda inayohusika?

  Chombo cha habari cha Thomson Reuters kimeajiri mswahili halafu anatu let down. Fumbuka Ng'wanakilala get a grip!
   
Loading...