Ipi hatari, Uranium Selous au Serengeti highway? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ipi hatari, Uranium Selous au Serengeti highway?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mla Mbivu, Jul 28, 2012.

 1. Mla Mbivu

  Mla Mbivu JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 221
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Barabara ya Serengeti ilikuwa na manufaa sana kwa Uchumi wetu kwa kuboresha Miundombinu na kukuza utalii. lakini mashirika kibao ya kimataifa yaliipigia kelele mengi yakiwa nyuma ya Kenya eti wanyama watapungua Maasai Mara (inatuhusu nini?), mwishoni serikali ikaogopa kufanya maamuzi magumu ikabatilisha ule mpango.
  Leo hii tunaambiwa tumeruhusiwa kuchimba Uranium Selous eneo ambalo ni urithi wa Dunia. Hivi ipi hatari kati ya barabara na uranium? Mbaya zaidi tunaambulia bilion 8 tu kati ya bilion 360 W.T.F...!!!!!

  Tafakari Mtanzania.
   
 2. M

  Mkandara Verified User

  #2
  Jul 28, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  both.....
   
 3. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Nadhani jibu unalo hapo tayari hapo kwenye red. kuhusu kenya Inatuhusu nini kwenye uchumi wetu?
   
 4. Mla Mbivu

  Mla Mbivu JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 221
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hapo ndo pakujiuliza coz wa tz tumekuwa kama ma zombi. Kusoma hatuwezi, hata picha hatuoni?
   
 5. F

  FUNGO jr JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante sana mkuu kwa huu uzi. Maamuzi ya serikali ya jk ni ya woga sana. Na yakibinafs na c kwa ajir ya nch hii
   
 6. F

  FUNGO jr JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  where is the application of greatest number for gqeatest enterest. (Jeremy bentham)
   
 7. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #7
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Kama wao walimtuma PUPPET wao kuua general Tyre yetu ili wao wauze YANA yao kwa nini sisi tuwajali wakti uchumi wetu unadidimia? What a shame.
   
 8. T

  Tewe JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2012
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 744
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Unategemea nini toka kwenye uongozi legelege?
   
 9. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #9
  Jul 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,840
  Trophy Points: 280
  nahisi sie tulizaliwa vipofu
   
 10. Mla Mbivu

  Mla Mbivu JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 221
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  What a shame...
   
Loading...