Soma hansard ya bunge ya tarehe 13 april kumbe bunge lilipitisha hoja kana kwamba inamashiko kwetu.
Wabunge ni wawakilishi wa wananchi wapo bungeni kupeleka kile ambacho tunawaagiza sasa nashidwa...
KITENDO cha Rais kuteua mawaziri kuongoza wizara ambazo zinashughulika na masuala ambayo si taaluma walizozisomea, kimepingwa na wananchi ambao wametaka mawaziri hao wateuliwe katika wizara ambazo...
Mwenyekiti wa vijana CDM John Heche ameutikisa mji wa Tunduma kwa kulakiwa na maelfu ya watu huku akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara.
Heche ameonyesha kushangazwa na mbio za mwenge nchini na...
Mbunge wa Ubungo ameanika uongo wa ofisi ya Waziri Mkuu hapa:JOHN MNYIKA: OFISI YA WAZIRI MKUU HAIKUJIBU UKWELI BUNGENI SWALI LANGU KUHUSU MGOGORO KATI YA SERIKALI NA WALIMU
serayamajimbo
Baraza la uongozi la cwt (chama cha walimu tanzania) lasisitiza kuwepo kwa mgomo licha ya serikali kusitisha mgomo huo kwa kuwa ni batili. Mkoba (mwenyekiti wa cwt taifa) amesisitiza kuwa mgomo...
Hatua ya Spika wa Bunge Anna Makinda kuivunja Kamati ya Kudumu ya Nishati na Madini ni kifungua macho kuhusu nini hasa kinatokea bungeni, na hasa mipaka ya uzalendo na utumishi wa umma katika...
Mbunge wa Iramba Mashariki-CCM-Salome Mwambu ni mgonjwa mahututi na amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi-ICU.
Msemaji wa MNH Aminiel Aligaesha amesema kimsingi hali ya mbunge huyo siyo...
July 29, 2012 | Mwananchi
MAPAMBANO ya kudhibiti dawa za kulevya nchini yanaelekea kugonga mwamba, baada ya baadhi ya vigogo wa Jeshi la Polisi kudaiwa kuingia kwenye mtandao wa biashara hiyo...
Spika Anne Makinda kwa kutumia mamlaka ya Kibunge alisema: 'Nitaivunja kamati ya Nishati na Madini na baadhi ya kamati nyingine ambazo baadhi ya wajumbe wake wanatuhumiwa kupokea rushwa'.
Je kwa...
najaribu kutafakari hapa kuhusu huu mgoomoo wa walimu
nasikia kwanza kwa sasa shule zimefunga na wanaoenda shule ni wanafunzi wa darasa la saba tu
na imefanywa hivi ili kuruhusu zoezi la sensa...
Habari
Mwandishi Wetu
Toleo la 251
25 Jul 2012
Walipanga kumrejea kibali mchimba bauxite kinyume cha agizo la Pinda
Baada ya mwandishi kumpigia Waziri Dk. Huvisa, mpango wao wayeyuka
SAKATA...
IMEZUKA staili moja siku hizi nchini ya kufikiri kwa kutumia kiungo fulani cha mwili badala ya kichwa. Aliyegundua kuwepo staili hii ingawa hajatangazwa kupewa Tuzo ya Nobeli ni meya wa jiji...
"Ollanta Humala, Peru's president, reshuffled his cabinet after violent protests over a mining project left five people dead. The new prime minister, Juan Jiménez, is a human-rights lawyer"...
Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wapiwapakiza vijana waliowamatwa katika eneo la Darajani mjini Unguja Zanzibar baada ya kutokea vurugu kati ya Polisi na kikundi cha Uamsho wiki...
Hii ni makala iliyo andaliwa na Dr.Kitila Mkumbo(Jembe) kwenye gazeti la Raia Mwema, Toleo la 251, 25 July 2012.
KATIKA siku za hivi karibuni majadiliano katika Bunge letu yamepata ufuasi mkubwa...
Jioni hii nimefuatilia bunge kwa makini kuanzia mwanzo mpaka miwisho.Nimegundua mambo haya:-
Mhando na wenzake inaonekana na inawezekana wamefanya makosa na sijui kama watapona
Zitto na...
nimejitahidi sana kutafuta picha au walau history kidogo ya huyo aliyetambulishwa kama Joshua Mulundi raia ya kenya bila mafanikio.
Uki-google hilo jina unakutana na picha za Kova, no one (not...
Wakuu,
Taarifa niliyoipata toka kwa source wetu ndani ya kikao cha CCM huko Dodoma zinashtua kidogo.
Wabunge wa CCM wamepandisha mori wakitaka Jairo (Katibu Mkuu wa Wizara) atimuliwe na...
Haya tarehe 6 June 1984 siku ya Jumatano majeshi ya serikali chini ya utawala wa Waziri mkuu Bibi Indira Gandhi yalivamia msikiti mtakatifu wa dhahabu wa masingasinga wa AMRITSAR. Kwa mjibu wa...
Habari za ndani ya uongozi wa juu wa Chadema nilizopata hivi punde zinasema Wabunge wa Chadema waliomo katika kamati ya Nishati na Madini inayovunjwa wataitwa mbele ya vikao vya juu vya chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.