Star Tv LIVE: Jicho letu ndani ya habari

SAID KUBENEA ni muandishi mahiri sana wa habari za uchunguzi, hakuna gazeti mwandishi hata mmoja alieiandika hii habari kwa umakini zaidi ya kubenea.

Hakuna sehemu mnaweza mkaikosoa ile habari, na mkitaka kujua alichofanya kubenea ni sahihi, angalia impact yake, magazeti yote yameandika kuhusu kutekwa kwa ulimboka hakuna aliyeshtuka, alipoandika kubenea, usalama haraka haraka wakajibu.
 
Wale ambao kila siku wana wasiwasi na uandishi wa mwanahalisi na kuziita ni za uzushi said kubenea yupo live anamwaga mbivu na mbichi karibuni kina ritz,rejao,rais wa maandamano,nnauye jr,mkigoma na wenzenu mpate majibu ya maswali yenu.
 
SAID KUBENEA ni muandishi mahiri sana wa habari za uchunguzi, hakuna gazeti mwandishi hata mmoja alieiandika hii habari kwa umakini zaidi ya kubenea.

Hakuna sehemu mnaweza mkaikosoa ile habari, na mkitaka kujua alichofanya kubenea ni sahihi, angalia impact yake, magazeti yote yameandika kuhusu kutekwa kwa ulimboka hakuna aliyeshtuka, alipoandika kubenea, usalama haraka haraka wakajibu.

Kwa maelezo yake, anaonekana yupo makini na anajiamini sana! Jamaa amefuatilia mawasiliano ya simu ya Ulimboka hadi wakamfahamu mtuhumiwa!
 
Kishombo wa the african;
nilipoona hii habari kwenye mwanahalisi roho yangu iliridhika.
 
Watz wamechoka jamani!!
We ukificha kuna mwenzio kaona!!
 
Kubenea ni genius, wasiwasi wangu ni kwamba asipokuwepo kubenea sioni mwandishi mwingine hata mmoja anayeweza kuandika habari za kichunguzi kama kubenea.
 
Sued Kubenea anaharibu kufafsnua kuhusu habari yake ya jumatano iliyopita katika front page iliyokuwa ikisema "aliyemteka Dr Uliboka huyu hapa.

Kwa kweli jamaa ni mzima katila uelewa wa habari.
wa mtu ambaye anaweza kuangalia tafadhali afanye hivyo ss kwani mhim sana.
 
Kwa maoni yangu ni kuwa;

Walichokifanya mwanahalisi ni investigative journalism na sidhani kama inahitaji maadili yote kufuatwa zaidi ya kutoa habari.

Kwa wanaofahamu hayo mambo watakuwa wa kwanza kuwapongeza mwanahalisi, na watz wakumbuke kuwa sio mara ya kwanza kwa mwanahalisi kufanya hivyo, walishaandika habari ya namna usalama walivyohusika kwenye uchakachuaji wa kura za Dr Slaa na CDM kwa ujumla kwenye majimbo ya uchaguzi.

Binafsi nampongeza sana Saed Kubenea.

Kibaja.
 
SAID KUBENEA ni muandishi mahiri sana wa habari za uchunguzi, hakuna gazeti mwandishi hata mmoja alieiandika hii habari kwa umakini zaidi ya kubenea.

Hakuna sehemu mnaweza mkaikosoa ile habari, na mkitaka kujua alichofanya kubenea ni sahihi, angalia impact yake, magazeti yote yameandika kuhusu kutekwa kwa ulimboka hakuna aliyeshtuka, alipoandika kubenea, usalama haraka haraka wakajibu.

KAKA USWE huyu jamaa ni makini sana.
 
Kubenea anasema hajapokea malalamiko kutoka kwa mtu yeyote kati ya waliotajwa kwenye habari yake akilalamika kutohusika.
 
Namshukuru sana Kubenea kwa kuondoa wingu lililokuwa limetanda eti ulimboka alitekwa na Mkenya, nyambafu......, Ukweli umewekwa wazi na kubenea eti usalama wa taifa wanakanusha kwa tamko lililotolewa kwenye A4paper isiyo hata na logo yao, tutaaminije kuwa ni wao kweli wamekanusha? pili; nilitegemea kwenye kukanusha kwao wangelitaja mwanahalisi kuwa ndio gazeti lililowachafua lakini hawakulitaja hata mara moja. Badala yake wanaishia kusema ni gazeti moja la wiki, Tatu; nilitegemea kuwa kwenye kanusho lao wangemkana huyo Ramadhani Ighondo kuwa sio mwajiriwa wao, lakini hawakufanya hivyo, Nne nilitegemea usalama wa taifa wakanushe hoja moja baada ya nyingine kati ya hizo alizoandika Kubenea lakini hawakufanya hivyo; Tuamini nini sasa kama si kumshukuru Kubenea? Nadhani usalama wa taifa wamekosa mwelekeo sasa na kwa habari hii ya Mwanahalisi Kubenea anakiri live sasa hivi kuwa mbona hawajapokea malalamiko toka TISS kuwa habari yao sio ya kweli? Kubenea anakiri pia alimpigia mkuu wa usalama wa taifa mara nyiingi sana hakupokea simu na alipomwandikia SMS hakuijibu, angefanya nini kamam mwandishi kubalance habari yake kama si kuiripoti kama ilivyo?

Hongera sana kubenea Mungu ibariki Tanzania nchi ya baba na mama.
 
naamini kabisa hizi habari zote ni kweli,sema nchi yetu siku hizi imekuwa inaendeshwa kimabavu ,na hawa usalama wa Taifa hawafanyi kazi zao zaidi ya ubabaishaji na kujiingiza kwenye Siasa.Nina Imani na gazeti la Mwanahalisi na si habari za usalama wa Taifa
 
Back
Top Bottom