Thanda
Reaction score
5

Profile posts Latest activity Postings About

 • Thanda
  Ndugu zangu wana JF, pamoja na kunikaribisha katika majukwaa mbalimbali, pia napenda kuheshimu mawazo ya kila mmoja wenu humu katika hili BUNGE LETU TUKUFU,lenye uwezo wa kutunga sheria, pamoja na "KUMSHUGHULIKIA YEYOTE YULE" ambaye ataonekana kwenda kinyume na taratibu zilizowekwa.

  Naamini wanajamii wote tunapinga ufisadi na matumizi mabaya ya fedha za umma kwa maslahi ya wachache...

  Basi tuungane katika kuikomboa nchi yet toka kwenuye haya makucha ya wavamizi hawa "WABAKAJI WA DEMOKRASIA".

  Ni matumaini yangu kuwa mtaniunga mkono kwa haya machache.

  Amen
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top