Godbless Lema Kumvaa Aggrey Mwanry J2 Kwa Chopa ya M4C | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Godbless Lema Kumvaa Aggrey Mwanry J2 Kwa Chopa ya M4C

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Thanda, Jul 27, 2012.

 1. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mbunge wa zamani wa Arusha mjini, Mhe. Godbless Jonathan Lema, siku ya Jumapili ya tarehe 29.07.2012 ataingia kwa kishindo jimboni kwa Aggrey Mwanry, huko Sanya akitumia Chopa ya Chadema, maarufu kama Movement For Change (M4C).

  Haya wakazi wa huko, jiandaeni siku ya jumapili.

  SOURCE: Godbless Lema
   
 2. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,158
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  Umeweka thread apo mahali pasipo sahihi
   
 3. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ni kweli ndugu yangu ...nimepitiwa tu, nilikuwa na-peruse kwingine mara text ikaingia kwenye simu yangu, Mhe. Akinitaarifu kuhusu "shambulizi lake huko kwa Mh. Mwandry Aggrey...

  Nivumilie!!
   
 4. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mod unaweza nisaidia KUIHAMISHA?
   
 5. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  tunamtakia kila la kheri katika harakati za ukombozi wa nchi yetu. mwambie tuko pamoja.
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,742
  Trophy Points: 280
  Wrong pass
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Mkuu, umeiweka ndipo sipo ingawa ni nzuri. Mods, msaidieni mkuu huyu!!!
   
 8. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 19,923
  Likes Received: 3,001
  Trophy Points: 280
  M4c daima.
   
 9. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #9
  Jul 28, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Pamoja makamanda..m4c mbeele
   
 10. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  M4C ipanue uwigo naona wakuu wa hii operasheni ni wale wale,why Prof Safari A Safari hasikiki ?
   
 11. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #11
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  M4C ndio imeipeleka CCM kaburini ghafla. M4C FOR LIFE.
   
 12. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #12
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,227
  Likes Received: 319
  Trophy Points: 180
  Inabidi CDM ituambie kama LEMA ndio Mkurugenzi mpya wa SERA na UENEZI wa CDM maana naona kwa sasa ndio kazi anayoifanya. Nijuavyo mie hii kazi alikabidhiwa JJ Mnyika. au LEMA ni Mkurugenzi asiye na IDARA Maalum?
   
 13. b

  beyanga Senior Member

  #13
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ​ni hoja ya siasa ila sio ya ccm ha ha ha
   
 14. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #14
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nashauri akashambulie jimbo la Hai,mwanri ni Mbunge ambae kaibadilisha sana Siha kwa sekta ya maji,barabara na umeme! Lema akienda siha ongelee ufisadi tu kwa kuhusu Mwanri kutimiza wajibu wake kafanya kazi kubwa ukilinganisha na Freeman Mbowe!
   
Loading...