Mgogoro wa Eng. Muhando na mabosi wake: Siri yafichuka, anaeimaliza TANESCO NI JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgogoro wa Eng. Muhando na mabosi wake: Siri yafichuka, anaeimaliza TANESCO NI JK

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OLEWAO, Jul 27, 2012.

 1. O

  OLEWAO Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Wana JF,

  Taarifa za kiintelijensia toka kwa wanaTISS wachache waliobakia na uzalendo kwa taifa lao zinsema, Rais wetu JK ndiye aliyetega mirija kila kona kuhakikisha anachota kila kinachoingia Tanesco.

  IKO HIVI:

  Mtakumbuka vizuri kuwa kampuni ya Richmond ilitengenezwa mikononi mwake huku akimtumia Lowassa kufikisha ujumbe Tanesco. Mambo yalipoharibika alimtoa kafara rafiki yake. Japo Lowassa amejigamba mara nyingi kuwa hawakukutana barabarani, ukweli ni kuwa bado hamjui vizuri swahiba wake.
  Mgogoro uliopo Tanesco baina ya Muhando na wakuu wake ni wa kutengenezwa ili kuwaokoa katibu mkuu bwana Maswi na waziri wake Prof. Muhongo. Pamoja na kwamba Muhando ametengeneza tenda aliyompa mkewe hiyo si ishu kubwa kwa kuwa vifaa kweli vitakuwa supplied ila deal alilopiga katibu mkuu la kuingia mkataba Puma Company Ltd (zamani BP) ambayo haina sifa na pia kufanya kinyume na sheria za PPRA simply because JK anahisa hukoa ndiko kulikokuza ishu ya mhando ili atolewe kafara uma usiangalie deal hilo lenye thamani ya bilioni 26.
  Ukweli ni kwamba wabunge wakiamua kukomaa JK bye bye. Lakini taarifa zinasema JK amemwagiza Pinda kuhakikisha anawaziba midomo wabunge wote wazalendo. Taarifa zinasema Anne Kilango ameingia laini na katika moja ya vikao vyao vilivyoongozwa na Pinda alisimama kidete kutetea kuwa joja hii ikijadiliwa bungeni serikali na chama chao cha CCM vitaanguka!
  Aidha taarifa zinazidi kusambaa kuwa JK ametoa maagizo kwa viongozi wa wizara ya nishati na madini tangu wakati wa Ngeleja kuwa hakuna kutumia gesi kwa ajili ya kuzalisha umeme badala yake majenereta yatumie mafuta mazito ambayo asilimia kubwa yatatoka GAPCO ambako yeye anahisa tangu akiwa waziri.Swali la msingi; Kama gesi imetoka all the way from mtwara to ubungo, mafuta ya nini?
  Aidha Tanesco hulazimishwa kutengeneza mgao feki ili bwana mkubwa achote chake. Isitoshe maajabu mengine ni kwamba Tanesco wameingia mkataba na kampuni ya Ridhiwani ya kuleta nguzo za umeme toka Afrika Kusini na si Iringa tena. Yapo mambo mengine mengi tangu Richmond, DOWANS, Symbion na haya ma-IPTL, Agreko n.k ambayo JK anayajua vema lakini ameendelea na roho ngumu ya kuwanyonya watanganyika.

  Ombi langu kwa Mungu, Avuruge nchi hii ili tuanze upya.
  Wana bodi mnasemaje?
   
 2. KISHOKA_ZUMBU

  KISHOKA_ZUMBU Senior Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 163
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Unahitaji maombi ww!
   
 3. ALF

  ALF JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Mh!!! Napita kwanza.
   
 4. d

  dandabo JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 303
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  kama ni kweli basi jk na alaaniwe yeye na nyumba yake!
   
 5. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Tushajua ukweli na taratibu hatua zimeanza. Mkuu uko oryx au camel? poleni watu wameshatia mchanga kwenye tumbua lako.
   
 6. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Tatizo la viongozi huwa siyo wakweli na hivyo kutuchanganya kujua ni nani yuko sahihi na nani hayuko sahihi.Vurugu tupu.
   
 7. M

  Malipo kwamungu JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 574
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Niongezee chapati na chiken wing 3 p/s fanya haraka!! aah !! nitarudi bdae hapa
   
 8. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,109
  Likes Received: 1,499
  Trophy Points: 280
  hata kama akiwa na hisa kumbuka serikali ina hisa 50% katika kampuni ya energy na pia bei yake ni ndogo sana kulinganisha na makampuni mengine hivyo nasita kukuunga mkono ningekuunga mkono kama ungeniambia kama kampuni zimenyimwa tenda kwa sababu zilitoa bei ndogo na si vinginevyo
   
 9. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Hadi hapa mimi sina cha kusema, ila nimependa sana ombi lako......na litatimia
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hivi JK anaweza kuwa ni mtu wa aina hii?
  Hela hizo za wavuja jasho za nini jamani wakati maisha yenyewe ndio haya?
  Lakini ili mradi tushayajua hatutakaakimya!
  MNYIKA twende kazi!
   
 11. H

  Hon.MP Senior Member

  #11
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kijana Mnyika kamchana live huyo Mhando kwa wizi alioufanya.

  Umeongea kinyume. Mhando na genge lake la mafisadi ndio walitaka waendelee kuifilisi TANESCO na hata NCCR mageuzi nao wamesema hivyo. Jipange vizuri mwende tena Dodoma mtafute kugawa manoti tena sasa hamna wateja wa nyimbo zenu lakini sasa hata mtapigwa ngumi maana Mhando, mkewe, mpenziwe, Mh. Mkono na wahindi walitaka kuuwa shirika kwa ajili ya matumbo yao. Hatudanganywi tena!
   
 12. G

  GRILL Senior Member

  #12
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Acha uchochezi. Hilo ombi lako sio la kizalendo nchi ikivurugwa hatuwezi kuanza upya. Fikiria vurugu na kuanza upya kama vina uhusiano
   
 13. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  source please!
   
 14. peri

  peri JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  porojo tupu.
  umetumwa wewe, unataka kumsafisha muhando kwa kumpa tenda mkwe???
  Halafu, mbona gesi inatumika kuzalisha umeme zaidi ya meegawati 200 hata katibu mkuu juzi kaeleza hilo??
  Unatumika vibaya, ulichoongea hakina mashiko.
  Ulitaka tanesko inunue mafuta 1900 wakati puma wanawauzia 1400??
  Halafu puma serkali in hisa 50%, kwanini isitumie kampuni yake itumie ya mafisadi??

  Hovyoooooooooooo
   
 15. p

  politiki JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  ni kweli kuwa ukimya wa jk ktk swala zitto kama hili unatia shaka sana na majibu yake ya rejareja kama yale aliyoyato africa ya kusini alipoojiwa na mwndishi wa tanzania yanaonyesha wazi kuwa hali hii ya tanesco ni ya kutengenezwa kwa maana uoni urgency na longtime plan ya kulitatua. lakini pia swala la muhando kumpa tenda mkewe siyo swala dogo ndugu ni swala very serious na linatakiwa lichukuliwe very seriously.
   
 16. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Jk atakuwa na laana
   
 17. O

  OLEWAO Member

  #17
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Jamiif,

  Nimesema source ni TISS wazalendo.
   
 18. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,289
  Likes Received: 1,436
  Trophy Points: 280
  hata wewe umechotwa kirahisi hivi lol...
   
 19. O

  OLEWAO Member

  #19
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  KISHOKA_ZUMBU; Unahitaji maombi ww!

  Wewe Zumbu, hebu nieleze mlolongo wa kashfa tangu Richmond hata PUMA JK amekaa kimya ina maana hajui kinachoendelea. Kama wewe ni mkristo sema ili nikupe maandiko yanavyosema juu ya wanaoumiza watu wa Mungu ndipo ungejua umuhimu wa kumuomba Mungu ili aingilie kati watu wake tuweze kupona.
   
 20. Mandown

  Mandown JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 1,577
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  mmmh! kwahiyo lowasa ni msafi kabisa na anafaa kuwa RASI!
   
Loading...