Pongezi: KIKWETE azindua GARAGE ya Ndege

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
JANGA LA KIFAIFA

Rais kikwete leo kazidua garage (karakana) ya ndege za precision katika viwanja vya J k nyerere kwa kukata utepe kuashilia uzinduzi

TAfakari picha kwa hisani ya @misupu

PC9.jpg

PC6.jpg
 
Wakati mwanaye ATCL yuko ICU hoi bin taaban
 
Mkuu hiz\o ndizo kazi jk alizobakiza.. Hapo hata ukimuuliza japoahadi 3 alizoeleza 2010, hakumbuki wala hajui nini cha kufanya... Unajua hao wazee wenye hiyo precission ndio walikuwa board of director wa kampuni ya ndege air tanzania.... So wameua shirika la umma wameanzisha la kwao.. Leo jk anachekelea tu bilashaka hata yeye anajua kilichortokea... Reli imekufa, ndege hatuna, viwanda hovyo, maendeleo ya jamii hovyo..., rushwa mtindo mmoja, gap kati ya walionacho na wasionacho linazidi kuongezeka.... Serikali ya jk... Najua haina cha kupoteza tena... Thats why awamu hii ni ya rushwa kwenda mbele tu.. Maamuzi yapo mikoni mwetu tz. Watz tuamke
 
Hivi ni lini tutapata Rais anaelewa kwamba mwanasiasa hatakiwi kukata utepe wa kuzindua mradi wa mtu?

Hivi unaweza kusikia kwa mfano Obama kaenda kuzindua jengo la DELTA Airlines?

Hakuna mwanasiasa aliyewahi kupata exposure ya kusafiri katika historia ya Tanzania kama Kikwete, toka akiwa waziri mpaka Rais, lakini mbona mwenzetu hajifunzi mawili matatu kuhusu misingi ya utawala bora ya huko anakopenda kutembelea?
 
Jamani huyo wapembeni ni mwakyembe? Kweli kapauka,anaumwa bado huyu waziri me tu zamani alikuwa hivi!

unafikiria alipewa sumu ya panya kwamba ukimya maji unapona mara moja kitu kiko kwenye bone katikati ya mifupa..usikute anakufa taratibu na adui yake jana kasafishwa kuwa hahusiki na richmond..
 
Kaka muda utasema.
Ila Mwaki amebadilika sana!
 
JANGA LA KIFAIFA

Rais kikwete leo kazidua garage (karakana) ya ndege za precision katika viwanja vya J k nyerere kwa kukata utepe kuashilia uzinduzi

TAfakari picha kwa hisani ya @misupu

PC9.jpg

PC6.jpg

Tatizo ni kuwa KUNA KARAKANA kubwa ya ATC KIA - PRECISION AIR NDIO WALIYOKUWA WANAITAKA; Walitaka

Pia Makao Makuu yao Yawe KIA; Na Karakana Hiyo ni Kubwa lakini KIA haijawahi kuitumia tangia IJENGWE (UFISADI)

Sasa Walipoiomba Wakawa wanazungushwa na kupewa hadidhi za kale; Mwenyekiti wa Precision alisha fanya Kazi ATC

Akaona hapo wamewekewa kizingiti wakisubiri wataliwa pesa na hawataendelea; wakaamua kuanzisha kule ambako

kuna nafasi ambako walipewa Dar... na cha KIA kimekaa tu
 
Kama ni swala la Raisi tu basi tulipewa. Hii nchi sasa hivi hatutaki tena rasi anayecheka cheka hata maswala ambayo siyo ya kuchekea. nanukuu maneno yake aliyotamka anafungua bunge 2005 kwa mara ya kwanza kama Rais.
''I might be wearing a smile on my face but don't be perceived by that smile''. Vihoyo maghamba hawakumuelewa ana maana gani

Watanzania wameshakuwa perceived
tayari

Hivi ni lini tutapata Rais anaelewa kwamba mwanasiasa hatakiwi kukata utepe wa kuzindua mradi wa mtu?

Hivi unaweza kusikia kwa mfano Obama kaenda kuzindua jengo la DELTA Airlines?

Hakuna mwanasiasa aliyewahi kupata exposure ya kusafiri katika historia ya Tanzania kama Kikwete, toka akiwa waziri mpaka Rais, lakini mbona mwenzetu hajifunzi mawili matatu kuhusu misingi ya utawala bora ya huko anakopenda kutembelea?

Yani hata mi najiulizaga huyu kasafiri sana kaona maendeleo ya nchi za ulaya lakini hajaweza kutuletea maendeleo anayoyaona huko hapa nchini. Rais anafungua workshop ya precision wakati atc haina hata ndege ukiachilia workshop na anakenua au wana hisa huko precision?
 
Mwakyembe nachekelea precission

ndo maana baada ya hapo akawageuka na kuwaambia atcl lazima irudi ili kupunguza bei. Jamaa wanafanya kama yule mwekezaji wa hotel arusha aliyejenga barabarani na kumuita jk aje azindue ili kumzima meneja tanroads asiibomoe!
 
Hahaha! Kiboko!
Hili ni tatizo aisee! Mi nashangaa hata mkewe hamshauri jamani? Kha!

Nilikuwa mhanga wa ndege ya atcl iliyovunjika kioo hewani, sitaki hata kuisikia tena! Here he is, our very own handsome prezidaa! Duh!
 
Hii ni sawa na kushinda kwenye harusi za mabinti wa majirani wakati wanao wanajazwa mimba nyumbani, tengeneza wa kwako na wewe ufurahi
 
Hivi ni lini tutapata Rais anaelewa kwamba mwanasiasa hatakiwi kukata utepe wa kuzindua mradi wa mtu?

Hivi unaweza kusikia kwa mfano Obama kaenda kuzindua jengo la DELTA Airlines?

Hakuna mwanasiasa aliyewahi kupata exposure ya kusafiri katika historia ya Tanzania kama Kikwete, toka akiwa waziri mpaka Rais, lakini mbona mwenzetu hajifunzi mawili matatu kuhusu misingi ya utawala bora ya huko anakopenda kutembelea?

Our beautiful president!
 
Hii nchi unaweza ukafa...hao Precision Air nasikia wameongeza ndege nyingine ya Boeing nilipanda kwenda FAJS....idadi ya Boeing 733 imekuwa tatu,wana 5H-PAZ,5H-PMS na 5H-PKS...Bado wana ATR72 na ATR45 zaidi ya kumi na moja...huyo ni mtu binafsi,kwanini sisi kama nchi tunashindwa?Leo ATCL wana miliki B735 nayo ni ya "Leasing" ya kukodi jamani!!ukifika HKJK(JOMO KENYATA INTER. AIRPORT) Utakuta kuna Airbus320,B777,B738,B767 na Ambleler190 zaidi ya tisini...!!!!Ivi sisi ni wapi tulipokosea?Hangar ya ATCL nasikia imekufa,wameua shirika na sasa wanaua kabisa karakana ya ATCL!!HIVI KIKWETE HAUONI AIBU?
 
Walisema Si kwamba JK anachekacheka bali kuna muscles za mashavu zimeharibika......nyie mnadhani anacheka kumbe mwenzenu mgonjwa!!!!
 
Back
Top Bottom