Nawapongza sana Prof Muhongo/Maswi, ingekuwa Ngeleja/Jairo ingekuwaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawapongza sana Prof Muhongo/Maswi, ingekuwa Ngeleja/Jairo ingekuwaje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by masopakyindi, Jul 28, 2012.

 1. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,347
  Trophy Points: 280
  Lazima tuwapongeze viongozi hawa waandamizi wa Wizara ya Nishati kwa kuweza kuhimili mapigo ya mafisadi, kuonyesha jeuri ya Mtanzania na hatimaye kushinda.
  Ni rare siku hizi kwa viongozi wengi kuhimili kutongozeka na hatimaye kununuliwa na fedha za hongo toka nje, hasa katika sekta hii ya Nishati.

  Na hapo ndo nikawaza, je wangekuweepo chale mwembamba na chale mrefu,Jairo na Ngeleja,leo tungekuwa tunazungumza nini?
   
Loading...