Lawrence Mafuru: New MD NBC (T) Ltd | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lawrence Mafuru: New MD NBC (T) Ltd

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NGULI, May 26, 2010.

 1. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Lawrence Mafuru, National Bank of Commerce who was The Head of Treasury has been appointed to be the bank's new Managing Director.

  Lawrence will succeed Christo de Vries. The effective date is 1 June 2010.


  Lawrence will also join the Absa Africa Executive Committee and Absa ALCO. As Managing Director, he will also sit on the NBC Board.

  Lawrence joined NBC in 2007 from Standard Chartered Bank Tanzania where he had a successful tenure of close to 10 years. At Standard Chartered, he spent four years in Global Markets, where he was Head of Sales, Rates and Foreign Exchange –Global Markets wholesale Banking.

  Lawrence is a certified Chartered Banker from the Chartered Institute of Banking (UK) and a Certified Treasury Practitioner – ACI Financial Markets.

  Hongera sana mkuu tupo pamoja, he is the youngest MD NBC has ever had!
   
 2. Mchana

  Mchana Senior Member

  #2
  May 26, 2010
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 181
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Honger asana bwana Mafuru, tupo pamoja
   
 3. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Hongera sana Lawrence!!! Hot and young blood! Kweli na taasisi za serikali zitizame upya mfumo wao wa madaraka na uongozi!!!

  Wazee wanasinzia mezani hata kalamu hawezi kushika!! Ukimwambia asome email hata hajui browser iko wapi!!!

   
 4. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  :target:
   
 5. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nampongeza bwana Lawrence Mafuru kwa uteuzi huo. hii inaonyeshaa imani waliyonayo ABSA kwa vijana wa kitanzania katika kuwakabidhi majukumu hayo makubwa ya kuongoza taasisi hiyo.

  Hii pia ni changamoto kwa vijana wa kitanzaniaa kujibibidishaa zaidi katika kazi kwani nafasii zipo na ile dhana ya kulalama kwamba wageni (kenyans zaidi) kuchukua kazi zetuu itaondokaaa.

  VIJANA TUJIAMINI, TUCHAPE KAZI KWA BIDII, UFANISII MBELEEE NA TUJIEPUSHE NA SHORT CUTS KAMA WIZI WA KATIKA MAENEO YETU YA KAZI..

  WHEN YOU USE SHORTCUTS, YOUR SHAMED!!!
   
 6. E

  Edo JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Big up man, sasa WaTZ tumpe ushirikiano na sio tuanze kumchimba na kumuwekea vigingi ! Najua atakuwa na vigingi vya ku-balance kazi-interest ya ABSA/Barclays against interest za waTZ/hasa wafanyakazi, lakini mazungumzo na ushirikiano wenu utasaidia sana katika kazi yake.
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hongera Law Mafuru uje uiboreshe NBC maana wengine hadi kadi zetu tulisha zitupa kutokana na kero sugu.
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  NBC mnakera tena nawachukia najua No Body Care, Mafuru tafadhali anza na wale wazee pale duuuuu

  hebu ona ATM zenu

  [​IMG]

  Kama haitoshi

  [​IMG]

  Mafuru kazi unayo kuchukua kazi ya huyu mzungu

  [​IMG]
   
 9. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Hongera sana bwana Lawrence Mafuru je ana uhusiano na yule director Ephraim Mafuru wa Vodacom
   
 10. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  Rais wa Zanzibar Mh. Amani Abeid Karume akipata wakati wa futari iliyoandaliwa na benki ya NBC hoteli ya Zanzibar Beach Resort. Kulia kwake ni Mkuu wa Hazina wa NBC Lawrence Mafuru.
   
 11. JS

  JS JF-Expert Member

  #11
  May 26, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hongera Mafuru
   
 12. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #12
  May 26, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Big ups Mafukuru..................
   
 13. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #13
  May 26, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mhhhhhh!
   
 14. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2010
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  The youngest, the biggest, nk. hivi visiwe vigezo vya kumpa hongera.

  Tusubiri tuone performance maana ni wengi waliowahi kupewa hongera kwa uteuzi na kusifiwa ni youngest, it is bla bla! ...... Matokeo yake ni aibu tuuuu! Munakumbuka uteuzi wa boss wa PPF?
   
 15. M

  Mkulima JF-Expert Member

  #15
  May 26, 2010
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 698
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Hongera mafuru. Hii ndiyo inatakiwa kwamba hayo mashirika makubwa yaliyobinafishwa yaanze kuongozwa na Watanzania wenyewe.

  Kuna vijana wanaoweza, bora tuwape nafasi na kuwapa ushirikiano.
   
 16. M

  Mundu JF-Expert Member

  #16
  May 26, 2010
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Hongera mkuu. Hii inaonyesha imani ya wakuu kwako. Peperusha vyema bendera ya Tanzania. God bless you!
   
 17. M

  MJM JF-Expert Member

  #17
  May 26, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 461
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Huko kwetu Mafuru ni jina na kawaida wala haliko kiukoo saaaaana. Majina ya samaki, mboga, majira na vitu kadhaa wanayo watu kibao bila kujali uhusiano wa koo.

  POT Hongera sana. Mungu akupe nguvu katika majukumu hayo mapya ambayo dhahiri ni very challenging
   
 18. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #18
  May 26, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  All the best,tuwakilishe vyema pls manake kuna watu wanajua watz wote ni mabogus!
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  May 26, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kila laheri tunatarajia mabadiliko, kama kijana mwenzetu fanya kazi yale mambo mengine fanya kwa staha ---(UKICHECHE)
   
 20. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #20
  May 26, 2010
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180


  How young is he?​
   
Loading...