Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimekuwa nikijiuliza ni nini kimewafanya SSRA kupitia serikali kupeleka sheria kandamizi bungeni huku wakijitetete ati kuwa wanataka kuwasaidia watu wastaafu vizuri. Huu wema umetoka wapi? Tokea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana jf leo katika taarifa ya habari ITV, DC wa Muleba ameamuru maafisa wa elimu waingie darasani wakafundishe ili kuokoa vijana wanaojiandaa kwa mitihani ya kumaliza elimu ya msingi. Is this...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwa kweli mimi sishangai sana na habari za rushwa kupiga hodi Bungeni kwa kishindo. Kwa miaka kadhaa tena ni Bunge hilihili liliibua rushwa kubwa kubwa kama ya RICHMOND,EPA, KAGODA, RADAR,MEREMETA...
0 Reactions
2 Replies
968 Views
Waziri wa elimu bwana Shukuru Kawambwa kapendekeza kuwa katiba ijayo mawaziri wa serikali wasitoke ndani ya wabunge bali watoke nje ya vyama vya siasa ili kuleta dhana nzima ya uwajibikaji na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kijana mahiri aliyevuma katika harakati za kuwatafuna mafisadi kwa kuwaumbua hadharani ni pale sasa alipoona maisha yake kuwa hatarini kukimbia na kuhama mji wa njombe kuogopa kufanyiwa ubaya kama...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Agosti 1, 2012 | Mwananchi KADA mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela ameitaka Serikali kuchukua hatua kali za kisheria endapo itathibitika kuwa...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Nakumbuka Katibu Mkuu mstaafu wa CCM Bwana Yusufu Makamba katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 alisema kuwa karibu wagombea wote wa CCM - madiwani na wabunge (sasa sijui kwa nini akusema na Urais)...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni habari ya leo leo ndani ya Mwananchi Na Waandishi Wetu BAJETI ya Serikali ya mwaka 2012/2013 inatarajiwa kutumia Sh15 trilioni katika vipaumbele saba ikilinganishwa na Sh13.5 trilioni...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Leticia amekuwa anajitahidi sana kuulizia matatizo ya hilo jimbo la Kwimba na amemfunika kabisa mbunge wa kuchaguliwa ambaye ni wa CCM, leo bungeni amemwomba waziri wa maji waende wakaone tatizo...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Nimefuatilia sana hoja za wabunge na waziri na naibu wake juu ya TANESCO, ninaona siasa zaidi kuliko hali halisi, hapo ndipo naungana na Zitto kabwe. Sakata la Jairo lilipita bila kutajwa wabunge...
4 Reactions
46 Replies
5K Views
TANZIA: Baba yangu Mzazi Mzee Roman Selasini Amefariki Jioni ya Leo saa 12:15 Katika hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa akiendelea na Matibabu. R.I.P My Dad. Joseph Roman Selasini...
3 Reactions
90 Replies
9K Views
Baada ya mahakama ya kazi kushindwa kutoa hukumu hadi Agosti 2, vitisho kutoka kwa wakuu wa mikoa na polisi vinazidi. Huku Arusha polisi wamesema wataanza kupita mashuleni kubaini walimu...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni jambo lisilofichika sasa kwamba,nguvu ya serikali imebaki kutumia vyombo vya dola.Wakati kidonda cha Ulimboka hakijapona,sasa kibao kimewageukia walimu.Habari kutoka kanda ya ziwa kadri ya...
1 Reactions
2 Replies
872 Views
'Wapo watu wameanza kupotosha kwenye vyombo vya habari kuwa eti nimehudhuria kazini.Hiyo si kweli.Hizo ni harakati za CCM na Serikali yake kunichora mimi kama Msaliti.Hawatafanikiwa.Sasa hivi...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
MHUSIKA mkuu wa mpango wa kumuua Nelson Mandela, wiki iliyopita katika Mahakama Kuu ya nchi hiyo alipatikana na hatia ya uhaini kwenye kesi moja iliyodumu kwa takriban miaka 10 na atahukumiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Memo ya mbowe kwa nchemba imeambatishwa. Baada ya malumbano ya mbungeni Freeman Mbowe ambaye ni Mkuuwa kambi rasmi ya upinzani bungeni aliandika memo ambayo imeambatishwa kwa Mwigulunchemba...
1 Reactions
372 Replies
27K Views
RIPOTI YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI MWAKA ULIOISHIA TAREHE 30 JUNI, 2010 inasema 5.9 Kukosekana kwa orodha ya waliolipwa kiasi cha Sh.48,000,270,000 kwa ajili ya kuchochea...
0 Reactions
58 Replies
6K Views
Nataka kujua kikwete unajisikiaje unapoona migomo kila kona? Unaona fahari? ulisema utawapiga virungu wakigoma vp leo siku ya pili walimu wamegoma bado kupeleka virungu? Unasema hakuna pesa mbona...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ukweli ulishajidhihirisha tangu kale. Rais kuwasamehe wezi wa EPA, Kumfumbia macho Jairo na Luhanjo, chama kuendesha chaguzi zote kwa rushwa ie chaguzi ndogo, EALA nk. Omary Badwel (mb) wa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mh. Rais, inajulikana kuwa ni wewe ndiye uliyewateuwa Waheshimiwa wafuatao:- Maswi, Mhando, Mboma, Muhongo, Simbachamwene na Masele. Katika kundi hilo wapo walioidhalilisha Serikali yako kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom