Diwani wa kata ya njoro katika manispaa ya Moshi Mh.Jomba Koy amepata ajali mbaya mkoani shinyanga akiwa safarin kuelekea nyumban kwake musoma akiwa na familia yake taarifa ni kwamba hali yake...
Baada ya kukaa zaidi ya mwaka mmoja bila kujaza nafasi za viongozi wa vijiji 18 katika halmashauri ya Njombe hatimaye Mkurugenzi ametangaza kufanyika kwa uchaguzi siku chache zijazo.Kabla ya...
JUMANNE, JULAI 31, 2012 06:25 NA MAREGESI PAUL, DODOMA
*Yadaiwa mafisadi wanajipanga kukata umeme
*Washtukia walinzi wa makampuni binafsi
WABUNGE wamechachamaa. Kuanzia sasa wanataka mitambo...
Huu mgomo wa walimu ambao unaendelea na unapamba vichwa vya habari vya magazeti mbalimbali umeanza kwenye muda muafaka?.Nimeuliza hivyo kwa sababu tarehe 3 mwezi wa 8 shule za serikali zitafungwa...
Katika kile kilichoonyesha kua walimu ndani ya nchi hii ndio waliowafundisha wote wenye maarifa na hao wenye madaraka,
Baada ya serikali kuweka zuio mahakamani leo mahakama imeshindwa kuzuia...
Ndg walimu wote, maisha bila ya ualimu yapo sana tu, msirudi nyuma, mmenyanyaswa sana na serikali na mmedharauliwa vya kutosha, kama kazi yao wachukue, yani hadi wauza maji wanadharau walimu...
Monday, 16 July 2012 22:30
By Zephania Ubwani,
The Citizen Bureau Chief
Arusha. Kenya has returned nearly all hominid fossils and other archaeological materials which were taken from...
Naogopa kumtaja jina...
Lakini nashangaa sana kuona kimya cha huyu mheshimiwa ambaye ndiye REAL owner wa gazeti la mwanahalisi.
Imekuwaje au anajiandaa na mashambulizi mapya? Maana si kawaida...
Hivi huyu mdudu ilipitaje bungeni.... Gharama kupitishwa kwa 1,400% bila mtu kuhoji?
Je Wabunge wetu wanajua kusoma? Lazima mtu angehoji kama kweli wanafanya kazi tunazowatuma kufanya. Bunge letu...
Gazeti la Dira la leo limewataja wabunge wanasadikiwa kulamba mlungula ambapo kwa mujibu wa gazeti hilo wamo Zitto kabwe ambaye anatajwa kuwa na ukwasi wakutisha ikiwapo nyumba kadhaa na magari ya...
"Siku ya Agosti 26, iliyopangwa kuanza hiyo inayoitwa sensa, Waislamu tumejipanga kufanya maandamano makubwa ya amani nchi nzima kupinga misingi dhuluma dhidi ya Waislamu…tutatoka nchi...
Nimepitia mara kadha page zao za twiter ili kujua misimamo Yao katika mambo yanayoendelea katika jukwaa la siasa na Wako kimyaaa tofauti na kawaida yao.
Mtakumbuka katika vipindi kama hivi siku...
Waziri wangu unasubiri nini kuachia ngazi ili kudhihirisha kuwa uongozi umekushinda? Mgomo huu ni kiashiria kuwa umepwaya. Iga mwenzako wa Zanzibar pale unapohisi umefeli. Vitisho havifai.
Walimu waendelea kuhamasisha wanafunzi kujitokeza kwenye mgomo kesho dar kuwaka moto wanafunzi wataziba njia zote.
Mobilization yaendelea wakati huo huo serikali yaonya kupitia Mh Shukuru...
na Abdallah Khamis
MBUNGE wa Kigamboni, Dk Faustine Ndungulile (CCM) amechaguliwa kuwa mwakilishi wa Bara la Afrika kwenye Taasisi ya Kimataifa ya Masuala ya Ukimwi (IAS) ambapo...
Wadau nimekuwa na matumaini makubwa sana na vyama vya upinzani haswa CHADEMA kwa muda mrefu nikiamini huyu ndiye mkombozi ajaye kwa wananchi wa Tanzania. Katika siku za hivi karibuni zimeibuka...
Bunge ilipitisha kwamba wale wote wanaorenew road licence lazima walipie huduma ya moto. Hapo mwanzoni hii huduma ya moto ilikuwa Tsh 3,000/ leo hii hiyo huduma imepanda kuanzia Tsh 40,000/ kwenda...
Hafla ya kupongezana juu ya kilichotokea jana huko Dodoma imekwisha na sasa kinachoendelea ni kikao cha hatua ya pili ya kukabiliana na mvutano uliopo bungeni miongoni mwa wabunge wenyewe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.