Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete hapo vipi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nkisumuno, Jul 31, 2012.

 1. n

  nkisumuno JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 208
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nataka kujua kikwete unajisikiaje unapoona migomo kila kona?
  Unaona fahari?
  ulisema utawapiga virungu wakigoma vp leo siku ya pili walimu wamegoma bado kupeleka virungu?
  Unasema hakuna pesa mbona wabunge mapesa mengi shilingi milioni 11000000 na wewe kila mara nje ya nchi hela unapata wapi kama za kuwalipa walimu hazipo?


  ushauri wangu Acha ubabe Rais utaipeleka nchi pabaya. Tumia akili yako si ya kuambiwa. Hivi kweli hata wewe hujui umuhimu wa walimu.

  Kuna andiko moja katika biblia linasema hata punda aliweza kusema ili kumuokoa mmiliki wake. Aligoma kwenda hata hivyo mmiliki akaanza kumpiga ndipo punda akasema " mara ngapi nimekubeba na sikuweza kugoma hata siku moja, lakini sasa naiona hatari iliyombele yako ameshika silaha anataka kukuangamiza." HATA SISI WALIMU TUNAONA HATARI ILIYO MBELE ACHA KUTUTISHIA KUTUNYIMA MISHAHARA.

  HATA HIVYO KUMBUKA CHEO NI DHAMANA

  "BE NICE TO THE PEOPLE WHEN YOU GO UP SINCE YOU MAY MEET THEM WHEN YOU COME DOWN"
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,899
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  w2aalimu waliogoma hawana haki ya kulipwa mshahara ---kawambwa.
   
 3. L

  Le Grand Member

  #3
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Binafsi nasema huu ni mwanzo tu yapo meeengi mbele yetu tumuombe Maanani atunusuru kwani mabwepande wametukalia pabaya....mwarobaini ni 2015
   
 4. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,763
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  Ahahahah kazi nzito hapa naona kabisa jinsi ambavyo shughuli ni nzito
  solidarity 4reva
   
 5. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 9,094
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Rais na chama dhaifu huzaa serikali dhaifu na legheleghe
   
 6. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nguvu ya jeshi haijawahi kushinda nguvu ya umma popote duniani.by dr Slaa
   
 7. Kyaiyembe

  Kyaiyembe JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 1,567
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  "Huu ni Upepo tu utapita"
  "Usipokuwa tayari kuliwa kidogo huli.........."
  "Akili za kuambiwa changanya na za kwako"
  "Mimi sijui ni kwanini walimu wanagoma Oh. no! kwanini Tz na masikini"
  "Sihitaji kura zao"
  Tarajia majibu kama hayo hapo juu
  'Liwalo na liwe' hutaki unaacha Kudadadeki!
   
 8. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 2,898
  Trophy Points: 280
  nimeangalia Uganda baada ya mlipuko wa Ebola Rais M7 kaongea na taifa mara moja lakini hapa kwetu huwa wanasikilizia upepo kwanza
   
 9. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #9
  Jul 31, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,357
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  Aliwaambia walimu hahitaji kura zao wao wakampa sasa mnalaumu nini,rudini kazini msubirie 2015 hizo kura apewe dr slaa muone mshahara atakaolipa
   
 10. n

  nkisumuno JF-Expert Member

  #10
  Jul 31, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 208
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Utakuwa uliimpa kura wewe maana hujitmbui ndo maana unaongea kitu usichokijua
   
 11. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #11
  Jul 31, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 6,065
  Likes Received: 716
  Trophy Points: 280
  Una ushahidi ya kuwa walimpa kura zao?
   
 12. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #12
  Jul 31, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 6,065
  Likes Received: 716
  Trophy Points: 280
  Ma-first lady wangekuwa hawaanzishi NGO na kubaki kwenye taaluma zao basi nafikiri awamu ya nne walimu wangepata haki zao!!!!!
   
 13. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #13
  Jul 31, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kweli mkuu, Salma Kikwete angebaki na diploma yake ya ualimu na angeendelea kufundisha, labda tungelikuwa na hali nzuri, lakini kwa kuwa U first lady ni cheo siku hizi, sijui, lakini safari hii TUMEWASHIKA PABAYA.
   
 14. c

  choka Senior Member

  #14
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  You are the only person as a president,who can rescue this country,please get us out this mess you put us into,wewe pekee ndiye unaye weza kutuepusha na umwagaji damu huu,ambao unadalili zote za kutokea.
   
 15. A

  Assume Member

  #15
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nahisi BABA LIZ kuhusu mgomo wa wawalim hata haumsumbui kufikiri !maana anaamin mgomo utakua MBAYUWAYU STYLE.....
   
Loading...