Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya CHADEMA kunyakua viti vingi vya ubunge ktk uchaguzi uliopita na kuonekana kuwa tishio kwa CCM. Mkakati ulipangwa kuwanyamazisha wabunge wa CHADEMA bungeni kwa kuwabana kwa 'miongozo ya...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Kuanzia mwaka huu wa fedha 2012/2013 mfumo (system) fedha mapato na malipo ya fedha katika halmashauri unatakiwa uunganishwe na TAMISEMI ili TAMISEMI waweze kuona transactions zinazoendelea...
0 Reactions
1 Replies
890 Views
The topic speaks for itself. The main thread can be found here: https://www.jamiiforums.com/great-thinkers/297111-mjadala-tathmini-ya-utawala-wa-rais-kikwete-2005-2012-a.html Update: Kama kuna...
20 Reactions
528 Replies
37K Views
Wanabodi Taarifa za uhakika kutoka miongoni mwa madiwani wa CHADEMA manispaa ya Arusha,zinasema kuwa hawatashiriki mapokezi ya Rais wa JMT anayetarajiwa kufika Arusha kesho,Awali madiwani wote...
0 Reactions
71 Replies
5K Views
CHADEMA inatarajia kuanza Operesheni Kubwa nchi nzima kuanzia Jumamosi ya tarehe 4 Agost katika Mkoa wa Morogoro,Iringa,Dodoma,Singida na Manyara kwa siku 44. Baada ya Mikoa hii itakuwa ikiendelea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kauli mbiu aliyoitoa Bungeni akichangia hotuba ya makadirio ya Budget ya wizara ya Mawasiliano na Uchukuzi kuwa CCM itaondoka madarakani kwani uwezo tunao na sababu zipo na kuwa hata wao CCM...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Rais wa CWT amekanusha kile kilichoripotiwa na gazeti la serikali la Habari Leo kwamba Mwalimu Gratian Mkoba alihudhuria na kusaini kitabu cha mahudhurio Shuleni. Amesema atalishtaki gazeti kwa...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
  • Closed
sasa niwazi kuwa lile sakata linaloendelea ndani ya wizara ya madini na nishati linachukua sura mpya, wale mnaowaona wakipiga kelele ni kuwa si bure, vita yote hiyo nia ni kumngoa Zitto Kabwe na...
3 Reactions
52 Replies
5K Views
  • Closed
Kiongozi wa chama cha walimu (CWT) ametajwa kuweka sahihi yake katika kitabu cha mahudhurio ili kuepuka adhabu. Huu ndio usanii wa walimu na mgomo wao feki. Source: Magazeti asubuhi hii UPDATE...
4 Reactions
98 Replies
8K Views
Nakumbuka Vizuri mchakato wa kumtafuta Mgombea Ndani ya CCM mwaka 2005 Ulivyo kuwa Na makundi na vuta niku vute nyingi... Kwa Wanaofahamu Kwenye Top 3 ya 2005 Jina la JK lilikuwa Halipo..walipita...
4 Reactions
50 Replies
5K Views
Katika kufuatilia kauli ya makinda nimegundua hajamwelewa kamanda lissu. Lissu alipoongea na wanahabari alitaja majina ya wana ccm walio na mgongano wa maslahi na tanesco na sio waliokula rushwa...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Posted on August 1, 2012 by zanzibaryetu Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika mkutano wa Muasisi wa Muungano Hassan Nassor Moyo kulia ni Sterling Roop, Salim Bimani na Eddy Riamy...
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Hii nimeikuta kwenye page ya Vodacom on Facebook, kumbe wanatutambua wana JF
41 Reactions
121 Replies
8K Views
JUMATANO, AGOSTI 01, 2012 06:44 NA MAREGESI PAUL, DODOMA *Amwambia hawezi kumshitaki Tundu Lissu SPIKA wa Bunge, Anne Makinda, amemzima Mbunge wa Simanjiro, Christopher ole Sendeka (CCM)...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wote kwa nyakati tofauti jana wameripotiwa wakiagiza kuwa waliofuja fedha za umma washughulikiwe Wakati Mrema anapambana na waliofuja fedha hizo kwenye halmashauri, Kikwete anapambana na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wana jamii forum, sioni kama mkubwa wa bwana James Mbatia ataafiki kufukuzwa kwa mbunge huyu kwa sababu zifuatazo; 1. C.C.M. wanajua fika kuwa jimbo la Kigoma kusini si lao ni la Upinzani. 2...
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Katika kudhirisha kuwa sasa CCM imechokwa leo juzi mtoto wa balozi wa CCM kata ya Mjimwema Njombe aliamua kuchoma bendera ya CCM kwa imani kuwa chama hicho ndicho kimesababisha mgomo wa walimu na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuwatisha walimu, kuwaagiza maafisa elimu na Dc kwenda kufundisha ni kupoteza muda wa kutatua tatizo. Suluhu ya mgogoro wa walimu ni serikali ikubali kukaa na walimu ili kukubaliana kwa kile...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari Picha Ya BAVICHA-Taifa-Nyanda Za Juu Kusini
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Jana, siku ya kwanza ya mgomo wa walimu, bwana mrisho Gambo alifundisha Hisabati darasa la saba katika Shule ya Msingi Mazoezi-Manundu. Leo, siku ya pili ya mgomo wa walimu Mh. huyo ameendelea...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom