Gratian Mkoba : MGOMO upo palepale na ni HALALI... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gratian Mkoba : MGOMO upo palepale na ni HALALI...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, Jul 31, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  'Wapo watu wameanza kupotosha kwenye vyombo vya habari kuwa eti nimehudhuria kazini.Hiyo si kweli.Hizo ni harakati za CCM na Serikali yake kunichora mimi kama Msaliti.Hawatafanikiwa.Sasa hivi Walimu tumejipanga vya kutosha.Mgomo wetu ni halali kwahiyo walimu hawapaswi kuwa na shaka yoyote.Kauli za viongozi wa Serikali si lolote kwenye jambo lililopo kisheria. Walimu,tupo pamoja. Tusimame pamoja kudai haki zetu. Serikali isiyosikia sauti,itasikia matendo.'

  Source: Niko naye hapa
   
 2. zenmoster

  zenmoster JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 953
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  sasa si bora akanushe hiyo habari kwenye vyombo vya habari mapema iwezakanavyo maaana walimu wengine washazani kuwa yeye ni msaliti.. mshauri afanye hivyo mapema tena kwa haraka na msisitizo mkubwa sana
   
 3. NG'OMBE

  NG'OMBE JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2012
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 362
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Pinda yuko wapi? si apeleke wanajeshi na polisi wakafundishe.
   
 4. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Nitafanya hivyo Mkuu...
   
 5. GP

  GP JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2012
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mkuu uko na marehemu Adrian Mkoba??? (aliekua askofu wa morogoro)
  acha KUPOTOSHA na KUDANGANYA umma we magamba, huyo kiongozi wa walimu anaitwa GRATIAN MUKOBA, kama umetumwa hebu kaa chini acha kutoka povu
   
 6. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  VUTA-NKUVUTE ...ni 'Gratian Mukoba' na sio Adrian Mkoba. Adrian Mkoba kwa sasa ni marehemu, aliwahi kuwa Askofu wa Jimbo la Mororgoro miaka ya themanini.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Ni typing error Mkuu.Inasameheka...
   
 8. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Waziri yuko Clouds FM anazingua bangi
   
 9. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #9
  Jul 31, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Nimeshangaa sana kwa serikali kusema ya kuwa haya madai ya walimu ni mapya. Tumeshuhudia walimu wakidai madai yao haya tangu miaka minne iliyopita, sasa huo upya wa madai ni wa miaka mingapi? Kwani haki mpya hazitakiwi kuombwa/kupiganiwa?? Inaelekea kama madai yako hayajatimiza miaka kumi, basi kwa serikali yetu hii madai hayo yatakuwa ni mapya.
   
 10. mndwadage

  mndwadage JF-Expert Member

  #10
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 345
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pinda huu mgomo ni kama haumhusu...labda sababu mgomo wa madaktarari umemwacha mtupu hana ham na migomo sasahivi.!
   
 11. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #11
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Asante kwa Marekebisho Mkuu.Nilimaanisha Gratian Mkoba.Mods nisaidieni kubadili jina la kwanza...
   
 12. m

  masalu mhalagani Member

  #12
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ninaumia zaidi ya wanavyoumia hao viongozi coz kwetu hatuna pesa za kupeleka watoto private,hivi ss wanadhurura tu mjini,wa primary na sekondari!!sijui kama itaisha salama hii....WATOTO WAO WANASOMA MBELE WENGINE FEDHA BYS&GIRLS!!!
   
 13. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #13
  Jul 31, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Oooooh!! Ok,
  Propaganda haziepukiki, walihisi waalimu hawatathubutu, hawataweza na hawatasonga mbele...kama wao walivyofanya.
   
 14. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #14
  Jul 31, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  MOD tunaomba kichwa cha habari kisahihishwe jina. Inaelekea mleta mada hakunakili jina vizuri, Rais wa CWT ni Gratian Mkoba (na si Marehemu Askofu Adrian Mkoba).
   
 15. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #15
  Jul 31, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  aisee umenikumbusha. anao wengi tu wenye taaluma hiyo, cjui ni kwa nini hawapeleki mashuleni
   
 16. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #16
  Jul 31, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sawa, tunaomba Rais wa CWT awe ana up date mgomo kila siku asubuhi kwenye vyombo vya habari ili tusiyumbishwe na propaganda za akina Shukuru Kawabwa. SOLIDARITY FOREVER. Naenda shamba hivi, nitarudi town jioni sana, mgomo umenisaidia kweli, shule sometimes inaboa kweli hasa unafikiria kuwa mwisho wa mwezi mshahara hautoshi kwa lolote....wengi tutaacha kazi hii kwa sababu ya maslahi. Sijui kama katika kizazi hiki yupo mwalimu ambaye atastafu. Kwanza wengi tuliingia kwenye profession baada ya kukosa ALTERNATIVE, SO TUNATAFUTA, tukipata the way, TUNASEPA.
   
 17. t

  thatha JF-Expert Member

  #17
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  gazeti la habari leo linalochapishwa kwa kutumia kodi za wananchi leo limeripoti kuwa eti "rais wa cwt bw.gratian mkoba amekwenda kazini na kusaini kitabu cha mahudhurio akiogopa adhabu" taarifa hizi ni za uongo na zimekanushwa vikali,tumechoshwa na uzushi wa habari leo.
  my take
  mgomo hauzuiliwi kwa habari za kuzusha,mgomo uko palepale mpaka kieleweke.
   
 18. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #18
  Jul 31, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  teth teh teh teh.........hiyo kali
   
 19. M

  Mnyonge Namba1 JF-Expert Member

  #19
  Aug 1, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 402
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hofu yangu ni kwamba: HUENDA UKAOKOTWA Mabwepande, Msitu wa Pwani au UKAIFUATA MV Spice Islander/Skagit ilipo.Hakikisha usalama wako upo.
   
 20. M

  Mnyonge Namba1 JF-Expert Member

  #20
  Aug 1, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 402
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hii nayo kali
   
Loading...