Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

FUTARI YA PAMOJA WASHINGTON DC Kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi, Mwenyekiti na uongozi wa CCM Tawi la DMV tunawatakia waislam wote duniani Ramadhani njema. Pia tunawakaribisha watu wote katika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hajampa nafasi wakati Wa mshahara Wa waziri
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hapa naunganisha dots za mwenendo wa Zitto na Kafulila juu ya kutumika na CCM katika kivivuluga vyama vya upinzani nchini. Kusema mweli leo nimeshangaa kuona heading kubwaaaa kwenye gazeti la...
0 Reactions
81 Replies
10K Views
Yupo TBC 1 jambo Tanzania anazungumzia mgogoro wa walimu. Hawa Ghasi waziri mwenye dhamana ya TAMISEMi leo wanazungumzia jambo mgogoro ambao wakati fulani ulipohusu madaktari wao wenyewe ukiacha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ikiwa tena mwisho wa mwezi na nchi ikiwa kwenye hali mbaya kiutawala,sijui huyu muheshimiwa atakuja na majibu gani kwenye masuala ya msingi yanayohusu mustakabali wa Taifa hili. Migomo ya...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ndio Waziri wa Uchukuzi, Dk.Harrison Mwakyembe hata mimi ninakuunga mkono fagio lako la chuma lazima lifanye kazi safisha kabisa Wizara yako hongera sana na Mwenyeezi Mungu akulinde na hao Maaduwi...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Akizungumza katika mkutano wa Mkapa HIV Foundation, kasema lazima taifa hili lijiheshimu na lirudishe heshima yake kwa kutumia sera yake ya kujitegemea. Kasema kasoma makala fulani kupitia...
0 Reactions
106 Replies
10K Views
Koti la Muungano lawabana vijana, vikongwe Zanzibar Send to a friend Sunday, 29 July 2012 14:47 Masoud Sanani VIJANA na wananchi wenye umri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwamba Upandaji wa sukari ghafla baada tu ya uchaguzi mkuu 2010 ambao umeng'ang'ania kuwa juu mpaka sasa unasababishwa na fidia za michango ya wafanyabiasha kwa chama cha Mapinduzi kwenye uchaguzi...
0 Reactions
2 Replies
957 Views
SAKATA la wabunge kuhusishwa na rushwa limeingia sura mpya, baada ya Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Zitto Kabwe kuhojiwa na chama chake cha Chadema kwa saa tatu jana. Wakati Zitto akihojiwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Baada ya sakata la TANESCO kutinga Bungeni kufuatia Hotuba ya Bajeti ya Waziri wa Nishati na Madini Prof.Muhongo sasa imebainika wazi kuwa kulikuwa na Wabunge kadhaa wa CCM na wachache toka...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Mimi ni mtanzania Ndio ni mtanzania .tena asili ya nchi yangu tena yaTanganyika na Zanzibar, Bali nimekuwa mdanganyika nikidanganywa kila kukicha na watawala wangu, Nilio waweka mwenyewe...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Sidhani kama hata ile idara ya procurement pale BOT wanaweza kuwashinda hawa Tanesco kwa ufisadi uliokithiri. TRA peke yake ndio itakuwa inawazidi Tanesco kwa rushwa Tanzania Lakini mkitaka...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
HawA maafisa waandamizi wa Wizara ya Nishati na Madini wanastahili pongezi kwa kuonyesha kibri ya Kitanzania ambaya kwa siku za hivi karibuni imekuwa nadra. Prof Muhongo, Waziri wa Nishati na...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Ndiyo wakuu! Katika hali ya kuendelea kutapatapa kwa serikali ya ccm wakati miti yote inateleza , imejitokeza tena leo ktk wila ya ya Rorya baada ya polisccm kuzuia mkutano wa hadhara wa cdm...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Anaojiwa na Clouds Fm ivi sasa..anashindwa kujibu maswali.
1 Reactions
83 Replies
7K Views
Ndugu zangu watanzania mimi ni Mtanzania mwenzenu na ninauchungu sana na nchi yangu ila viongozi wetu wanatuangusha sana kwa sasa. Embu angalia mambo mbali mbali yanavyoendesha hapa nchini na...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Aliyekuwa mwewnyekiti wa Chadema bw Nuru Maeda akirudisha kadi ya chadema na kuchukua ya CCM MBele ya katibu wa CCM wilaya ya Meru bw Langaeli Akyoo Picha, Habari na Gladness Mushi wa Fullshangwe-...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimekuwa napata bahati sana ya kukutana hawa jamaa wa CDM hapa Moro wakiwa na mikutano Moro vijijini aisee jamaa wamepania kumtoa mtu kwenye sofa lake 2015.
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Madudu ya TANESCO haya • Mbunge aiuzia matairi mabovu na Mwandishi wetu, Dodoma WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, jana aliibua madudu mengine ya Shirika la...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom