Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa niaba ya Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) tukiwa ni sehemu ya wadau wa sekta ya habari nchini, tunaunga mkono maandamano ya amani mliyoitisha ya kupinga hatua ya serikali kulifungia...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Kama manavyofahamu kwa kanuni za halmashauri, Naibu wa Meya hchaguliwa kila baada ya mwaka mmoja. Naibu Meya Angela derrick Lima(CHADEMA) amemaliza muda wake kikanuni na hivyo hii inawalazimu...
7 Reactions
61 Replies
6K Views
PRESS RELEASE: YAH: KUFUTA MIKATABA NA KUSIMAMISHA KUUZA MUZIKI WA BONGO FLEVA,GOSPEL,DANSI NA TAARABU KWENYE MITANDAO YA SIMU. Husika na kichwa cha habari hapo juu, Kwa ujumla wetu sisi Wasanii...
5 Reactions
67 Replies
7K Views
Naomba nitoe pongezi kwawanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo mjini Njombe kwa ushiriki wenumkubwa katika mkutano wa uongozi wa vijana wa chadema ngazi ya taifa (BAVICHATAIFA).Pongezi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nchi hii haina utaratibu wa kutoa mishahara inayowiana. Hebu angalia Bunge kujipangia mishahara. Hiki ni chanzo cha matatizo sugu ya nchi hii. Inasikitisha kwamba sasa hivi bunge linaweza kuamua...
1 Reactions
0 Replies
809 Views
Akizungumza nami kwa hisia kali, kijana mmoja ambaye hakunitajia jina lake jana tarehe 31 July 2012 mbele ya Uhamiaji House maeneo ya Kurasini, amesema kwamba alihuzunika na kusikitika mno baada...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
kama busara haitatumika, kesho katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini huenda akapoteza kazi, hii itatokea baada ya bajeti ya wizara kusomwa bungeni kesho ijumaa. kuna jitihada zinafanyika...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mbunge wa Singida mashariki Tundu Lisu amefanya conference mjini Dodoma leo mchana amewataja wabunge wafuatao kuwa ndio vinara wa rushwa kamati ya nishati na madini. I.Munde Tambwe 2.Sara msafiri...
7 Reactions
177 Replies
19K Views
....'mchakato unaendelea'' ,''tuko mbioni '', ''tunajipanga kulifanyia kazi'', ''mawazo tumeyapokea ,''serikali yenu ni sikivu'', ''hili tumelichukua'', Tumejipanga kikamilifu, Hilo tatizo litakua...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimakosa kutaka kuweka kitasa kipya kwenye mlango ulioliwa na mchwa (mbovu), kaa kitako, tafakari na amua kuchonga mlango mpya ili viendane na kitasa kipya unachotaka kuweka. Mlango umeoza kila...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Kichwa cha habari kinasema "Wabunge Kamati ya Nishati Wakufuru" Ndani yake Uhuru Kongwe la CCM linasema wahusika na kamati hii ni matajiri wa kufa mtu 1. Yupo anayemiliki magorofa 2. Wengine...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Simanjiro Member of Parliament Christopher ole Sendeka (R) chats with his Singida East counterpart, Tundu Lissu, at Parliament grounds in Dodoma yesterday. (Photo: Selemani Mpochi) Hizi ndiyo...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakati wa kuwakilisha Makisio ya bajeti yake, Waziri Mwakyembe amesema wanatarajia kuanzisha chuo cha wahudumu wa ndege. Ila chuo hicho kitatoa upendeleo kwa warembo hasa wale walioshiriki u-miss...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Baada ya kuona walimu kukomaa na kuanza mgomo nimeona wabunge wa CCM na upinzani wakisimama kujifanya wanataka kujadili mgomo wa walimu. Kwani kabla ya hapo hawakujua kama walimu wana matatizo...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Muda huu.. Wanaelezea umuhimu wa vitambulisho vya taifa na sheria yake.. Na ushauri wao.. Na mhe, lowasa yupo
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Hivi ukiwa kama mzazi mwenye mtoto anaesoma katika shule ambazo walimu wamegoma,Unampango gani juu ya swala hili la watoto wetu kwenda shule asubuhi na kurudi nyumbani bila kufundishwa? Nadhani...
0 Reactions
1 Replies
883 Views
Katika kipindi hiki cha tuhuma za wabunge kuhusishwa na kashfa ya rushwa,hususani wabunge wa CCM(kwa wingi wanaosadikiwa),Endapo wakithibitika kupokea rushwa.Ni Ukweli usiopingika kwamba..... *...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Aiingii akilini kwa serikali kuendelea kukaa kimya na badala yake kulifungia gazeti la mwanahalisi kwa tuhuma za UCHOCHEZ hasa baada ya kutoa habari inaoelezea watu wanaosadikiwa ni wa ikulu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kitendo cha wakuu wa wilaya na maafisa elimu nchini kuendelea kuwasainisha walimu mahudhurio ni kuingilia mhimili wa dola, kwani mahakama imeshindwa kabisa kuzuia mgomo wa walimu na tunajua jambo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
huyo mkuu wenu aliyekuja huko ni mtu wa hatari sana kwani mkizubaa ni lazima awalize. Gia yake kuu ni kutumia injili, ambapo anajiita mlokole ila ni mpiga dili ile mbaya.Kule Hai alijifanya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom