Serikali please stop this!!!!

mayenga

JF-Expert Member
Sep 6, 2009
4,118
1,966
Ni jambo lisilofichika sasa kwamba,nguvu ya serikali imebaki kutumia vyombo vya dola.Wakati kidonda cha Ulimboka hakijapona,sasa kibao kimewageukia walimu.Habari kutoka kanda ya ziwa kadri ya taarifa ya habari ya ITV usiku huu ni kwamba walimu waliogoma wanakamatwa na polisi.This is absurd.Please stop this!!
 
Wanasheria tusaidieni. Waalim wana mgomo halali na wala hawaandamani. Kwa nini polisi wawakamate?
 
Back
Top Bottom