Masonga, Kijana wa CHADEMA aikimbia Njombe na kutoonekana mkutano wa John Heche | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masonga, Kijana wa CHADEMA aikimbia Njombe na kutoonekana mkutano wa John Heche

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by why, Jul 31, 2012.

 1. w

  why JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 203
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kijana mahiri aliyevuma katika harakati za kuwatafuna mafisadi kwa kuwaumbua hadharani ni pale sasa alipoona maisha yake kuwa hatarini kukimbia na kuhama mji wa njombe kuogopa kufanyiwa ubaya kama alivyopata vitisho kutoka katika baadhi ya viongozi wa ccm na watendaji wa serikali.

  Jana tar 30 July, mwenyekiti wa BAVICHA John Heche alipokuwa akihutubia vijana walipenda kumsikia kijana mwenzao Emmanuel Masonga lakini hakuonekana.

  Katika mazingira hayo pia baadhi ya vijana walipojaribu kumpigia simu hakupokea simu hiyo.
  Taarifa zilizopo zinaonesha kuwa kijana huyo ameamua kuhama baada ya kutishiwa maisha yake na baadhi ya watu baada ya kuonekana akifuatilia utendaji wa halmashauri ya mji wa Njombe.

  Kijana Emmanuel Masonga ndie aliyetoa taarifa za ubadhirifu wa fedha za halmashauri katika ujenzi wa daraja la barabara ya magereza, pia matumizi mabovu ya fedha za ujenzi wasekondari ya mbeyela.
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Mna matatizo sana nyie watu mliokosa maarifa.

  Ujinga wako ndio mtaji wangu
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kamwene,ulamwiheyuve?
  dhafigono?mbona uyagire sana?

  mkutano kwaviewuli?

  umuhungilaghe umulamu vangu.
   
 4. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #4
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ndio maana nasema kila siku hii nchi ina dalili zote za kupasuka na siku ikipasuka itapasuka paaaaaaaaaaaaaaa.
   
 5. N

  NJOMBE MJINI Member

  #5
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kijana komaa huhitaji kuwakimbia mafisadi haooooooooooooooooooooooo
   
 6. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,204
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 180
  Hii taarifa haijakaa vizuri sana...
   
Loading...