Mbowe, mashambulizi dhidi ya Mwigulu Nchemba kwa memo hii kulikoni?

MAMA POROJO

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
4,974
785

mbowe na nchemba kulikoni.jpg





Memo ya mbowe kwa nchemba imeambatishwa.


Baada ya malumbano ya mbungeni Freeman Mbowe ambaye ni Mkuuwa kambi rasmi ya upinzani bungeni aliandika memo ambayo imeambatishwa kwa Mwigulunchemba, inasomeka kama inavyoonekana hapa chini:-

Mh. MWIGULU (MB)

- Ni dola ngapi umechangia mwanangu kusoma chekechea nje ya nchi?

- Naona mkakati wako kisiasa ndani na nje ya bunge umekuwa ' more and more attack onmyself ( personal) and my family'!

-
' mindyou i don't mind being criticised, but not on ficticious accusations withmalice intentions targetting, my personal life and my family!



My take: vita ya maneno makali ndani yabunge yanatupeleka wapi kisiasa?

Je kuandikiana vi-memo na kutupiana manenomakali mbungeni kuna athari za moja kwa moja na kutupiana maneno makali kwenye majukwaa ya kisiasa nje ya mbunge?

Je hakuna athari za mauaji ya kisiasa yanayotokea katika uwanja wa siasa nchini?

Nini kifanyike kuondoa hali hii????????
 

Attachments

  • mbowe na nchemba kulikoni.pdf
    378.3 KB · Views: 1,144
wakuu naendelea kuweka attachment inasumbua nitaweka naomba subira.
 
Siasa za maji taka tu...hamna lolote mnachoongezea taifa hili zaidi ya kutaka kuteletea machafuko. I hate politicians. Hamtaki kushughulikia genuine problems mmekaa kuhangaika na Chadema. Shame on you
 
Si mlisema katumiwa msg kwa simu kwamba atauwawa leo tena imekuwa kikaratasi ha haaaaaaa haaaaaaa haaaa uwiiiiiiiiiiiiiiii
 
Hua naangalia jina la muanzisha mada kisha kama nina muda wa kujipumzinsha ndio napitia kidogo kuona upuuzi
 
Siasa za maji taka tu...hamna lolote mnachoongezea taifa hili zaidi ya kutaka kuteletea machafuko. I hate politicians. Hamtaki kushughulikia genuine problems mmekaa kuhangaika na Chadema. Shame on you

you should attemp suiced!
 
kweli mama poroja, coz hata kiswahili ulichoandika inawezekana umejitungia mwenyewe! mAMA porojo
 
Hii msg ni ya lini! mbona issue ya chekechea mbowe alichajibu bungeni muda mrefu.Alisema hana mtoto anayesoma chekechea....labda km ni mjukuu!
 
Hata kama ni kweli kuwa mbowe aliandika hiyo memo, sijaona ubaya wowote katika hilo. Mashambulizi ya maisha binafsi hayatusaidii wananchi zaidi ya kuwadhalilisha wahusika.... Hiyo ni warning ya kawaida kwa mtu mstaarabu ili ajirekebishe. Yakizidi namshauri Mbowe aandike barua rasmi kwa M/kiti wa chama chake.
 
Back
Top Bottom