Msitegemee kuona mbunge anafukuzwa uanachama CCM! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msitegemee kuona mbunge anafukuzwa uanachama CCM!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mnyonge Namba1, Jul 31, 2012.

 1. M

  Mnyonge Namba1 JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 402
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ukweli ulishajidhihirisha tangu kale.

  Rais kuwasamehe wezi wa EPA, Kumfumbia macho Jairo na Luhanjo, chama kuendesha chaguzi zote kwa rushwa ie chaguzi ndogo, EALA nk. Omary Badwel (mb) wa Bahi na sasa akina Kilango, Ole Sendeka nk.

  Hakuna sababu ya kutarajia jipya hapa, labda safari hii tuone makali ya upande wa upinzani ili tujue dira halisi kuelekea 2015..
   
 2. B

  Bubona JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Pamoja na hayo, pia wanaogopa kupungua zaidi Bungeni. Hawana uhakika wa kushinda chaguzi ndogo..........!!!!
   
 3. M

  Moony JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wananchi wajimbo husika ama wapiga kura wake wanaweza kuamua. wakichachamaa ataachia ngazi tu manake anakuwa amewaangusha wao zaidi
   
 4. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  ccm haina ujasiri wa kuwafukuza wabunge wake.
   
 5. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Watawafukuza vipi wakati wao wenyewe ni wala rushwa wakubwa,Umesahau suti tano za mr dhaifu.
   
 6. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  CDM watatoa mfano halafu CCM watafuata.
   
 7. D

  Deofm JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 383
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mfano upi tena zaidi ya ule wa madiwani watano wa Arusha mjini
   
 8. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,345
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  Chadema watawaoneshenimfano wa nini kinatakiwa kufanyika kwa wahujumu uchumi na wanafiki wakubwa km akina sendeka, kilango na wapuuzi wengine wanaojifanya wanaiga cdm kupiga vita ufisadi
   
 9. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #9
  Jul 31, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 280
  Lets see what happens to mp from CDM
   
 10. b

  beyanga Senior Member

  #10
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama ccm itawafukuza wabunge wake nitabadili jinsia na anayebisha aniambie haya.
  1.siku 90 za lowasa na chenge zimeishia wapi?
  2.mbunge wa dodoma aliyeshikwa na hongo ya 1 million kaishia wapi?
  3.mawaziri waliochishwa juzi na kikwete wamechukuliwa hatua gani za kinidhamu na kutaifishwa au kufungwa?
  Ccm wote ni wachafu hakuna msafi anayeweza kuipenda ccm poleni sana
   
Loading...