Uganda has once again emerged the country with the highest levels of bribery in East Africa, according to the East African Bribery Index 2012, a survey by Transparency International.
The survey...
Baada ya kumsikiliza Bw. Lowasa (Waziri mkuu aliyepita) kwenye kipindi cha dakika 45 ITV kwa makini sana ninaweza kusema kwamba sijawahi tangu ufwatiliaji wangu wa siasa za hapa kwetu kusikia...
Napongeza sana chama hiki pekee, makini kwa harakati za kuleta mabadiliko nchini.
Kwa sasa chama kimepata magari 200 ili kuwezesha harakati hizi muhimu. big up CDM. hakuna kulala, hakuna usingizi.
Kuizuia chadema wasifanye shughuli zao za kichama kwa ajili ya kupisha sensa kunaambatana na sheria ipi
please! Open your gets of logics.
Tuliivunja KAR baada ya kuona haina mwelekeo wa kulinda...
Nimemsikiliza Mhe. Rais wakati wa hotuba yake ya mwisho wa mwezi. Ameongelea kwa kirefu masuala mawili: sensa ya watu na makazi na pia mgogoro wa mpaka kati ya Tanzania na Malawi. Mi naomba...
Wakati wa Mkapa tuliona jinsi utawala huo ulivyokuwa unatumia nguvu ya polisi kuthibiti maandamano ya upinzani, ya NCCR na CUF, watu kuumizwa na wengine hata kufa etc etc. Hata Waisilamu...
Nimeisikiliza hotuba ya rais wetu Mh.Jakaya M Kikwete, amejitahidi kutuelezea vizuri tatizo lililopo na lilipotokea. Ktk maelezo yake amesema tume ya pamoja ya TZ na Malawi ilishindwa kuafikiana...
Wengi wajiunga Chadema, Mkusanyiko ulikuwa ni mkubwa sana kwa historia ya mwana siasa yeyote aliyewahi kutokea Houston TX .
Mbowe awabadili Wana CCM na kuwa Chadema.
Mbowe afanya Houston kuwa...
Sheria ni tofauti na hisia za wanachi, ukifuatilia kesi nyingi duniani za ushaidi wa wazi na watuhumiwa wanashinda. Wa CDM kunatofauti kubwa kati ya hisia na sheria, huu sio wakati wa kushangaa na...
Mwaka ushapita sasa tunaomba wana KAWE na wana Dar na JF kwa ujumle mtuleteee report card ya huyu HALIMA MDEE
Je Mbunge huyu alitoa ahadi zipi kwa wana KAWE
Je ana elimu gani?
Komsomea nini...
Ndugu zangu habari za Jumapili, leo katika pitapita yangu mjini Morogoro baada ya kutoka kanisani nikakutana na kakikundi cha watu wakijadili na kusema kuwa CCM wakitoka madarakani basi watanzania...
Sunday, 02 September 2012 12:03
Wajumbe wa Tume ya Katiba, Fatuma Said Ally, Ally Saleh na Profesa mwesiga Baregu wakimsikiliza mwananchi anayetoa maoni katika kijiji cha Nandembo...
Mfanyabiashara maarufu nchini, Mustafa Sabodo, amesema anafanya mazungumzo na wataalamu wake kuangalia uwezekano wa kuipatia CHADEMA jengo lake la kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, liliko eneo la...
Mwanzo; baada ya uhuru na kama ilivyosadifu TANU (chama cha ukombozi wa Mwafrika), Tanzania ilifuata siasa ya Ujamaa na Kujitegemea. Kwenye makrabasha ya siasa ya TANU na baadaye CCM hata kabla ya...
Katika kuonyesha kuitika mwito wa Rais kikwete aliyetangaza kuwa Madaktari wasioridhika na malipo kiduchu na mazingira mabaya wanayofanyia kazi hapa nchini waondoke, Daktari pekee bingwa wa...
Wadau, hebu tulijadilini hili jambo kwa kina bila kuegemea upande wowote hasa kwa kuzingatia mustakabali wa taifa letu. Nimesoma katika gazeti la nipashe la leo hii jumapili, habari yenye kichwa...
Jeshi la polisi mkoani Irinaga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wameshindwa kufikia maafikiano kuhusu makubaliano ya awali ya kuanza kwa mikutano yao baada ya kumalizika kwa zoezi la...
Wadau hili ni Tamko la Bavicha kujibu tishio la waziri wa mahusiano na uratibu Steven Wassira kukifuta chama cha Chadema na Tuhuma za katibu mkuu wa uvccm martin shigela.
TAARIFA KWA UMMA...
Eti wannijia kunzaliwa wapi? nnawambiaa wataka nn mie mapembe nanunua kwa pesa zaangu,kipande cha papa kwa pesa zaangu mafuta taa kwa pesa zaangu cjamuombapo ntu, cku nyengine nalala na njaa...
Kuna uwezekano mkubwa kuwa CCM hawatasimamisha mgombea Arusha Mjini.
Wanajua kutakuwa na kura za hasira kwa jinsi kesi ilivyoendeshwa na namna hukumu ilivyotolewa.
Pili wanajua kuwa chama hakina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.